TCU kazi kwenu leo

Wana tabia mbaya! Walilenga kuongeza pressure kwa watu! Inavyoelekeà hawatatoa leo kwa kisingizio cha sikukuu, wakati jana pia ilikuwa jumapili lakini wakaamua kuwarusha watu roho!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…