endesha
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,681
- 2,766
Ndio...Afu utakuta walichokiandika hukoSamahani mkuu ....majina ya waliochaguliwa yakitoka ili kuangalia Nina login account yangu???????? Au utaratibu upoje mkuu??? Naomba kusaidiwa
Ndio...Afu utakuta walichokiandika hukoSamahani mkuu ....majina ya waliochaguliwa yakitoka ili kuangalia Nina login account yangu???????? Au utaratibu upoje mkuu??? Naomba kusaidiwa
YaapSamahani mkuu ....majina ya waliochaguliwa yakitoka ili kuangalia Nina login account yangu???????? Au utaratibu upoje mkuu??? Naomba kusaidiwa
Una login kwny acc yakoSamahani mkuu ....majina ya waliochaguliwa yakitoka ili kuangalia Nina login account yangu???????? Au utaratibu upoje mkuu??? Naomba kusaidiwa
Vyuo vya afya vitajaa first round, labda fani nyingine, ila naona hata huko vijana wanalalamika waliotuma maombi ni wengi sana kuliko idad inayohitajika..!!Vyuo vipo ving na haviwez kujaa tena vtakos watu
Kweli aise mfano CUHAS(bugando) wanataka watu 170 huku idadi ya walio omba ni 2500 na zaidi unatarajia nini hapo kama si kuchukua one za 3,4,5, tu ....!Vyuo vya afya vitajaa first round, labda fani nyingine, ila naona hata huko vijana wanalalamika waliotuma maombi ni wengi sana kuliko idad inayohitajika..!!
Kama taasisi wamefanya vizur nawapongeza.
Mkuu wewe usiwapongeze hawa ni wajibu wao na unawalipa kupitia kodi yako kwa kazi hiyo.Kama taasisi wamefanya vizur nawapongeza.
Lakn cje ikafka iyo tareh hamna kitu, itakua tatzo maana mpaka leo nacte hawaelewek.
Mmmmmh mkuu upinzan mpaka katka maswala ya elimMkuu wewe usiwapongeze hawa ni wajibu wao na unawalipa kupitia kodi yako kwa kazi hiyo.
Hapo unatakiwa uhoji kwanini wamechelewa kufikia hatua hii.
Pongezi hawastahili hata kidogo.
Kweli mimi mpinzani sana hujakosea, mpinzani dhidi wale wanaokatisha ndoto za vijana kwa kupanga viwango vipya kinyemela, mpinzani dhidi ya wale wanaoendesha taasisi muhimu kama za elimu jinsi wapendavyo, mpinzani dhidi ya mfumo mbovu wa elimu hii inayoua fikra za vijana kwa kuwadumaza na kupoteza vipaji vyao kumbuka heri kipaji mimi ni whistleblower mdau wa elimu.Mmmmmh mkuu upinzan mpaka katka maswala ya elim
Mwaka huu sidhan kama hiyo second round itakuwa na uzito ..!!
Waombaji ni wengi sana kuliko mahitaji ya vyuo/kozi ..!!
Nadhan vyuo/ kozi, vitajaa hii first round.
Mwaka huu sidhan kama hiyo second round itakuwa na uzito ..!!
Waombaji ni wengi sana kuliko mahitaji ya vyuo/kozi ..!!
Nadhan vyuo/ kozi, vitajaa hii first round.
Akili NDOGO inapokutana na akili KUBWA...Kweli mimi mpinzani sana hujakosea, mpinzani dhidi wale wanaokatisha ndoto za vijana kwa kupanga viwango vipya kinyemela, mpinzani dhidi ya wale wanaoendesha taasisi muhimu kama za elimu jinsi wapendavyo, mpinzani dhidi ya mfumo mbovu wa elimu hii inayoua fikra za vijana kwa kuwadumaza na kupoteza vipaji vyao kumbuka heri kipaji mimi ni whistleblower mdau wa elimu.
Katka maswala kama hayo lazma tuendelee kuyapigia kelele mkuu.Kweli mimi mpinzani sana hujakosea, mpinzani dhidi wale wanaokatisha ndoto za vijana kwa kupanga viwango vipya kinyemela, mpinzani dhidi ya wale wanaoendesha taasisi muhimu kama za elimu jinsi wapendavyo, mpinzani dhidi ya mfumo mbovu wa elimu hii inayoua fikra za vijana kwa kuwadumaza na kupoteza vipaji vyao kumbuka heri kipaji mimi ni whistleblower mdau wa elimu.