TCU....even simple english is difficult for you!!!.....

sitetei, ila That is simple typing error, haven't u ever done any typing error?!!

You tolerate "simple errors" you encourage incompetence. Haya ni matokeo ya "Mwongozo wa TANU, 1972" uliopiga vita supervision na hivyo kuendekeza utendaji mbovu kila mahali, serikalini hadi uraiani. Taifa linahitaji kuelewa misingi ya matatizo yetu iko wapi ili kuweza kuyarekebisha matatizo hayo.
 
Mbona nawe kiingereza chako ni kama huyo unayemtetea. Au ndiye mhusika nini?

embu sahihisha hiyo sentesi yangu kama kuna kosa, watu wengine mnajifanya mnajuaaa kumbe nyinyi ndio viwete wa kwanza...!
 

watu mtafikiri hamajwahi kosea kwenye typing error yoyote, naona umekuwa mkali saana haya nenda kawafukuze kazi hao tcu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…