TCRA washughulikieni Halotel

Vocha za Airtel UNI hata wananchi wa kawaida wanakuwa nazo. Hapo utasemaje?
 
tumekisikia meneja wa vodacom,kama vipi baki na mtandao wako .
sisi tumehamia hotel.
halafu mbona hulalamikia hao azam tv kwa kulipisha local chanel
mkuu huyu haijuhi shinda ya kukosa option ya kuwa na mitandao mingi,ili uchague wenye nafuu!sasa mfano kule Tulya Iramba kuna mtandao mmoja wa Voda tu,ila mateso tuliyo yapata Mungu mwenyewe anajua!sasa hivi Halotel wapo uko,mpaka voda wameacha dharau na ukiritimba!sasa kwa masikini kama mimi nikiweka efu mbili napata mb 400 kwa wiki kwenye ka tecno kangu,nachati mpaka kiporo kinabaki ila nenda voda,uone!japo tigo wana unafuu wa buku moja unapata mb 150 kwa wiki,ila hawana coverage kubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…