Jaribuni kuelekezana kwa lugha ya kawaida tu wote tuna nia ya kuelewwshana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfumo wa Whatsapp kwa njia yoyote hauwezi chezewa!.. Wanaochezewa ni Mtumaji na Mpokeaji!.Watu wakiambiwa hii mifumo inadukuliwa kirahisi wanadhani tunazungumzia kisiasa kwamba tuko upande wa govt kuwaingilia falagha zao!!
But mfumo wowote unachezewa easy kabisa!
Asante kwa kutupa chakula cha ubongo maana kulikuwa na ndugu zetu wanadhani TRCA wanaweza kufungua mfumo wa Whatsapp MarekaniMfumo wa Whatsapp kwa njia yoyote hauwezi chezewa!.. Wanaochezewa ni Mtumaji na Mpokeaji!.
Kinachofanyika ni kuroute mawasiliano kwenda third party kati yao as A anatuma kwenda B but mnamdanganya A kuamini katuma kwenda B but kumbe katuma na kwenda C (man in the middle) au kumfanya B aamini anapokea toka A kumbe B akipokea toka A somehow C yupo pembeni naye anapokea!.
Whatsapp haidukuliki, wanaodukulika ni WATUMAJI na WAPOKEAJI!.
TCRA hawana ubavu huo, wala mtu yoyote zaidi ya whatsapp iwapo kama wameweka backdoor kwenye mfumo wao!..Asante kwa kutupa chakula cha ubongo maana kulikuwa na ndugu zetu wanadhani TRCA wanaweza kufungua mfumo wa Whatsapp Marekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana napenda mambo kama hizi sio mtu anarukia hoja bila kuleta mambo ya msingi.TCRA hawana ubavu huo, wala mtu yoyote zaidi ya whatsapp iwapo kama wameweka backdoor kwenye mfumo wao!..
Whatsapp inaweza dukuliwa iwapo mmoja kati yenu atakuwa hatumii Whatsapp original, yani A ana whatsapp official but B ana whatsappGB/OGwhatsapp etc. Hapo hakuna end-to-end encryption. Na wao kwenye statement yao wamekwambia kabisa!..
Huyo jamaa sijawahi kumuamini na simkubali ata chembenakumbuka pm aliwahi kusema serikali imenunua mtambo ambao kama ndani kwako una bangi basi ule mtambo unapiga alarm.sijui uliishiaga wap au ulishaibiwa
Hapo patamu akudukue alete hapa mrejeshoMm sijui kama ina wezekana au hapana.......embu nidukue
Kaishia kutoa kauli ya kashfa tuu
Hebu tueleze mkuu,how can you do it?..Tupe darasa kidogoU look like very bright man.
But ujitu jeusi unakuchanyanya!.
Jikite kwenye maada siyo kudhambulia maoni yangu chalii.
Wanasema kuwa mfa maji haishi kutapatapaKaishia kutoa kauli ya kashfa tuu
Mkuu hebu tueleze ni jinsi gani jamaa hatoweza kudukua watsapp?.The fact umeongea ujinga kwa vitu usivyovijua inaonyesha hujui chochote na ni mjinga tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo chalii ni faraa, end to end hajui maana yake af anaropokwa tuHajui lolote huyu, anafikiria ku-install spy apps kwenye simu ya demu wake ndio udukuaji. Sasa si kila mtu angekuwa hacker 😂😂😂
Huyo chalii ni faraa, end to end hajui maana yake af anaropokwa tu
Nakuaminia mzungu wangu.Watu weusi bhana.
Haya mambo yapo juu ya upeo wako!
Kwahiyo unadhani upo salama!
Idiot.
Vitu kama hivi hawa IT wetu wa Tanzzania hawataki ku explain,wanatutisha na maneno yao ya kejeli na dharau.Shambulio la Vilipuzi London na Köln kati ya mwaka 2015 na 2017 washambuliaji waliwasiliana kupitia WhatsApp na hili liligundulika kutokana na simu walizotumia kutupwa kandokando mwa barabara na application iliyopatikana humo ni WhatsApp, call log haikuwa na namba yoyote pia WhatsApp meseji zilikuwa zimefutwa.
Serikali ya UK iliitaka WhatsApp itoe data hizo lakini WhatsApp walisema hawana data za mtumiaji yeyote.
inategemea what do they want to hack,system are text . kama system sasa tunazungumzia IOS and AndroidOS.. kama ni text ni kazi bure to hack over secure channel ni kupoteza muda utapata ni number na miherui isiyokuwa na maanaMkuu hebu tueleze ni jinsi gani jamaa hatoweza kudukua watsapp?.
IT bongo ni wengi kwa vyeti na wachache kwa uhalisia. IT ya bongo ni second grade kwa mwenye uelewa wa ki-second grade, ukihitaji IT jaribu Kenya, Rwanda au South Africa, Namibia na Angola.Vitu kama hivi hawa IT wetu wa Tanzzania hawataki ku explain,wanatutisha na maneno yao ya kejeli na dharau.
Mku anakwambia ku hack whatsapp ni easy tu.Sasa mimi nashindwa kuwaelewa.
Sio Kweli.Mfumo uliotengenezwa whatsapp baada ya facebook kuinunua unafanya isiwezekane kudukuliwa..
Watu wanadhani kuweka app ya kuona mesej za mtu kwenye simu yake ndiyo kudukua,..
Yani hata iweje hakuna mtu yeyote duniani ataona meseji zako na mtu unaechat nae bila kuishika simu yako..
Sent using Jamii Forums mobile app