isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,562
Hahaha ππ Unabishana na WhatsApp ? Unabishana na Zucker. ?Usiwe mweupe kichwani
WhatsApp yako hata Mimi nadukua.
As long as unatumia mitandao/simu haupo salama.
Andiko langu halisemi inadukuliwa au haidukuliwi, nimesema tu kua sio salama kama wengi wanavyodhani.Huko sio kudukua mkuu.
Unafahamu maana ya kudukua?
You done it all mkuu!
Watu wakiambiwa hii mifumo inadukuliwa kirahisi wanadhani tunazungumzia kisiasa kwamba tuko upande wa govt kuwaingilia falagha zao!!
But mfumo wowote unachezewa easy kabisa!
Ok! Science haina mipaka! Sayansi ya leo inaweza kusema kuwa ni vigumu sana kupeleka chombo kwenye jua ila haisemi kuwa haiwezekani kabisa,maybe kesho wakagundua kitu tofauti na ikawezekana kutua kwenye jua! Kwa hiyo unapoambiwa kua haupo salama 100% inawezekana kuwa kwa sasa haiwezekani ila as the time goes inaweza ikawezekana!!
Ujui unachoongea acha mihemekoUsiwe mweupe kichwani
WhatsApp yako hata Mimi nadukua.
As long as unatumia mitandao/simu haupo salama.
Shambulio la Vilipuzi London na KΓΆln kati ya mwaka 2015 na 2017 washambuliaji waliwasiliana kupitia WhatsApp na hili liligundulika kutokana na simu walizotumia kutupwa kandokando mwa barabara na application iliyopatikana humo ni WhatsApp, call log haikuwa na namba yoyote pia WhatsApp meseji zilikuwa zimefutwa.They make a claim to be so real that we believe in them. Hiyo ni lugha nzuri ya biashara, kutengeneza uaminifu ili kumpiku telegram and viber pamoja na WeChat.
Ukweli wa mambo ni kwamba taarifa zikihitajika zinapatikana vema kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Shughuli ndio iko hapo sasa...Shambulio la Vilipuzi London na KΓΆln kati ya mwaka 2015 na 2017 washambuliaji waliwasiliana kupitia WhatsApp na hili liligundulika kutokana na simu walizotumia kutupwa kandokando mwa barabara na application iliyopatikana humo ni WhatsApp, call log haikuwa na namba yoyote pia WhatsApp meseji zilikuwa zimefutwa.
Serikali ya UK iliitaka WhatsApp itoe data hizo lakini WhatsApp walisema hawana data za mtumiaji yeyote.
Mfumo uliotengenezwa whatsapp baada ya facebook kuinunua unafanya isiwezekane kudukuliwa..Wewe hujui lolote na unajifanya mjuaji, nyie ndio mnaomjaza ujinga jiwe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mjinga ,mpumbavu, usiye na uelewa wala akili, usiyefikiria wala kuwa na heshima wala hustahili kuwepo jf..Hongera kwa kuhoa kikohozi!
Wanadhani wapo salama!
Wamiliki wenyewe wa hizo mambozi wanalia deilee na udukuzi!
Then jitu jeusi linakuja lina sema hii E2EE ndio top security!
Jitu jeusi umemaliza kutukana!?Wewe ni mjinga ,mpumbavu, usiye na uelewa wala akili, usiyefikiria wala kuwa na heshima wala hustahili kuwepo jf..
Wenzako wanatoa hoja wewe kazi yako kutukana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Km nliskiliza vizuri rais alitoa km changamoto ( kwamba ule mtambo uweze kudhibiti hata mawasialiano ya whatsapp nk)
Hakuna mfumo wa mawasiliano ambao upo 100% salama(fact)
Udukuzi unaweza fanyika katika maeno matatu..
1 kwenye chanzo(source)
2 kwenye kusafirishwa/mawimbi etc
3 kwa mtumiaji wa mwisho(destination).
Whatsapp kwa mfano encryption inafanyika kwenye source na inapofika destination ina kuwa decrypted...
Sasa inawezekana source au destination device ikadukuliwa na mawasiliano yakapatikana kama kawaida.
Sii lazima kuuingilia mtandao wa whatsapp wenyewe.
Mitandao pamoja na ulinzi wake.. imetengenezwa na binadam na hao hao wanajua jinsi ya kuingilia
As long as u have the appropriate tools and algorithm
Nawasilisha!!
Sent using Jamii Forums mobile app