scientist_tz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 605
- 900
Nshazuru huko mkuu sasa hivi sijaona cha ajab labda kafuta
Usijali, msimu wake utapita tu mkuube nipo be !joto tu
ni kweli kakaUsijali, msimu wake utapita tu mkuu
Ha ha haa umenichekesha sana mkuu, poa lakiniItakuwa uliweka dau lako ukaliwa sasa unatafuta namna ya kuwakomoa, tutajuaje?
Basi nimesha chungulia, nimejionea mwenyewe, ila sio watoto wa bongo wale, alafu mwenye account ile anafanya kuokota picha za watu nakuweka kwenye page yake , ndio maana ni picha za watu mbali mbali kwenye account mojaMkuu ni ngumu kumesa
Mkuu, watoto wa kimakonde na kinyamwezi unasema picha za mbele?Wengi sio wakibongo, watoto wa mbele, alafu picha za kuokota tu, yaani mchanganyiko wa picha mbali mbali
Mbele zile mkuuMkuu, watoto wa kimakonde na kinyamwezi unasema picha za mbele?
Sio lazima uangalie mkuu, ukienda huko shauri yakoNgoja niingie kwenye hiyo account ili na mm nipate cha kuchangia mkuu maana naona kama unadanganya vile?
Dah kweli mkuu TCRA wana kazi nzito dah! Dada antangaza biashara MUBASHARA KABISA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] HIYO PROFILE YAKE TU MAJANGASio lazima uangalie mkuu, ukienda huko shauri yako
Umeona mkuu? Nilikukataza lakiniDah kweli mkuu TCRA wana kazi nzito dah! Dada antangaza biashara MUBASHARA KABISA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] HIYO PROFILE YAKE TU MAJANGA
Chochea motoTCRA wapo serious kwenye mambo mengine, sasa hivi kipaumbele ni uchochezi, jaribu kufungua account yoyote halafu uchochee kidogo, watakudaka kama mwewe anavyovidaka vifaranga😀
Angel John'sHebu weka kqpicha kamoja basi tuone