TCRA wako serious kweli?

TCRA wako serious kweli?

Tcra kazi yao ni kupambana na habari inayopingana na serikali tu,hata star times wameshindwa kuwadhibiti kuonyesha zile local channels
 
Wengi sio wakibongo, watoto wa mbele, alafu picha za kuokota tu, yaani mchanganyiko wa picha mbali mbali
 
Ngoja niingie kwenye hiyo account ili na mm nipate cha kuchangia mkuu maana naona kama unadanganya vile?
 
Mkuu ni ngumu kumesa
Basi nimesha chungulia, nimejionea mwenyewe, ila sio watoto wa bongo wale, alafu mwenye account ile anafanya kuokota picha za watu nakuweka kwenye page yake , ndio maana ni picha za watu mbali mbali kwenye account moja
 
Wengi sio wakibongo, watoto wa mbele, alafu picha za kuokota tu, yaani mchanganyiko wa picha mbali mbali
Mkuu, watoto wa kimakonde na kinyamwezi unasema picha za mbele?
 
Sio lazima uangalie mkuu, ukienda huko shauri yako
Dah kweli mkuu TCRA wana kazi nzito dah! Dada antangaza biashara MUBASHARA KABISA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] HIYO PROFILE YAKE TU MAJANGA
 
Dah kweli mkuu TCRA wana kazi nzito dah! Dada antangaza biashara MUBASHARA KABISA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] HIYO PROFILE YAKE TU MAJANGA
Umeona mkuu? Nilikukataza lakini
 
Mdau haya mambo sio Facebook tu ukienda instagram, telegram, line na mitandao ya kijamii mingine utakutana na kasumba hii halafu mostly wanaendesha kundi hizo ni wale dada poa wajanja au manguli wao pia kuna kundi la wanaume nao wanajitia makungwi *****!!! Nao wanatumia picha za warembo fulani ili kujipatia hizo elfu 2-5 za entrance fees!

Back to topic! Tcra kazi wanayo kweli kweli ku track haya madanguro ya mitandaoni. Tuwe makini tu from joining them ipo siku wataumbuka watu.[emoji125][emoji125][emoji125][emoji91]
 
TCRA wapo serious kwenye mambo mengine, sasa hivi kipaumbele ni uchochezi, jaribu kufungua account yoyote halafu uchochee kidogo, watakudaka kama mwewe anavyovidaka vifaranga😀
Chochea moto
 
Back
Top Bottom