TCRA wadhibitini StarTimes wanatuibia

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
24,605
Reaction score
30,220
Hivi karibuni StarTimes walipotakiwa kulipa malimbikizo ya kodi waliamua kupandisha bei za vifurushi vyao ili watumiaji welipe kodi hiyo, sasa baada ya kulazimishwa kutoa bure chaneli za nyumbani ambazo wao walikuwa wanaziuza pekeyake wameamua kupandisha bei ya vifurushi ili wateja wavinunue kwa kudunduliza.

Nashauri TCRA isiachie wamiliki wapandishe bei kiholela bila kuomba kibali TCRA, pia STARTIMES wamekuwa na kawaida ya kupunguza idadi ya chaneli kwenye vifurushi bila ya taarifa wakati tayari wateja wamelipia.
 
Ukishindwa Startimes karibu DSTV.kwa kijanja.huku kiswahili unasikia kwenye channel za kenya tu.na TBCCM
 

Ni kweli kabisa mkuu, wanazngua sana kila siku wanapunguza channels bila taarifa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…