TCRA: Ukipokea Ujumbe wenye Chuki "Futa Delete Kabisa"

TCRA: Ukipokea Ujumbe wenye Chuki "Futa Delete Kabisa"

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
858
Reaction score
1,655




Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia kampeni ya kitaifa ya Futa Delete Kabisa inaendelea kusisitiza endapo utapokea ujumbe wenye matusi, uongo au unaoeneza chuki na kuvunja amani katika jamii basi futa na delete kabisa ujumbe huo. Aidha, inasisitiza kujenga tabia ya kuhakiki taarifa katika vyanzo vya kuaminika kabla ya kuuamini na kuusambaza ujumbe huo.​
 
Mwandishi anaongea kama kasuku, ujumbe wake sijauisikiliza naufuta
 
Back
Top Bottom