TCRA: Taarifa ya ujumbe unaosambaa siyo ya kweli

TCRA: Taarifa ya ujumbe unaosambaa siyo ya kweli


Pamoja na Wao ' Kukanusha ' ila kwa jinsi Upepo unavyoenda kwa sasa nchini kuna uwezakano haya yanayosemwa baadae yakaja kuwa Sheria hasa ukizingatia kwamba hata hawa ' Wakanushaji ' Wakuu Kimawasiliano nao pia ' Wanasujudu ' kwa Mtu Mamlaka mmoja nchini Tanzania. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Ha ha ha haaaa kwanza nacheka sio Kama nafurahi hapana naumia moyoni na mwenendo wa chombo kinachotuongoza Kama taifa yaani serekali ...

Kutokana na mwenendo wa Serikali ya awamu ya 5 kwa kuzingatia mtafaruku na hofu miongoni mwa wananchi walio wengi hasa mijini ...

Yote yanawezekana aidha la kweli au limekanushwa lugha iliyotumika kukanusha ndio inanitia shaka kwa kifupi yote yanawezekakana

Sa sijui nifuate lipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom