TCRA na NIDA: Kwanini "fingerprint scanner" zilizopo nyuma ya "smartphones" zetu hazitumiki katika zoezi linaloendelea la kusajili upya simcards?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,319
IMG_20191114_100507_878.jpg

NINAOMBA UFAFANUZI WA KINA KUTOKA KWA WATAALAM WA ICT PAMOJA NA TELECOMMUNICATION ENGINEERS.

Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Leo swali langu lipo kama ifuatavyo?

Kwanini "fingerprint scanners/censors" zilizopo nyuma ya "smartphones" zetu hazitumiki katika zoezi linaloendelea la kusajili upya wa simcards?

Kwanini mtu afunge safari kutoka point A kwenda point B kisha akawasilisha number ya NIDA pekee kisha alama ya kidole chake ikawa matched na ile alama ya kwenye computers servers za NIDA kisha akaambiwa kuwa umekamilisha zoezi?

Kwanini hakuna uwezekana wa kuwa na Android App ambayo itakuwa linked ikawa ina communicate na severs za NIDA, Service Provider husika pamoja na Fingerprint sensor ya kwenye smartphone kisha mtu akajifanyia usajili yeye mwenyewe akiwa sehemu yenye network coverage nzuri?

Au Kwanini "fingerprint censors" zilizopo nyuma ya hizi "smartphones" zetu haziwezeshwi kutumika katika kutengeneza accounts pamoja na ku-login katika mitandao ya kijamii (Twitter, Facebook, Jamiiforums) ili sasa tuachane na masuala ya mtu kusahau passwords pamoja na emails?

Unaweza ukakuta mtu anamiliki accounts kadhaa katika mitandao tofauti ya kijamii pamoja na emails pia, ila kila account ina password yake hivyo inakuwa ni rahisi sana kwa mtu kuweza kusahau moja kati ya credentials hizo.

OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
Fingerprint scanner kwenye Sim zetu huwezi kuzitumia sababu memory inayotumika haiwezi kufikiwa na developer hiyo imewekwa kwa ajili ya security ya sim.

Labda tusubiri hardware manufactiure watakapoona ni sawa kuruhusu hiyo feature kutumika kwa matumizi mengine.
 
Daudi Mchambuzi,

hapana haina connections na NIDA! but nafikiri aliyetoa maada somehow yuko very logic! labda nimsaidie kumjibia!

hawa watu wanaosajili kwa alama za vidole, wanatumia simu hizi hizi android! lakini wao wana kitu kimoja cha ziada! wao wana ile external scanner ambayo wanaconnect kwa simu! Lakini pia wao huwa wanapewa software flan na service provider ambayo inko linked and NIDA, kiasi kwamba ili uweze access information toka NIDA inakulazimu "UAPLOAD" finger print yako!

sasa hoja ya mtoa maada ni kuwa, kwanini hawa service provider wasidevelop APP ambayo nikiidownload kwa simu yangu iwe linked either na wao before kuwa linked na NIDA ambayo itanilazimu niupload FINGER PRINT yangu kwa kutumia simu hizi zenye finger print.

Nafikiri hii ni nzuri na ingesaidia kupunguza usumbufu huu wa sasa!

Infantry Soldier
 
Hoja imeeleweka na ni rahisi sana kama itawezeshwa

Kuhusu kulogin Facebook, Insta n.k kwa finger scaner bila kuhitaji kuweka password mbona Samsung hiyo huduma ipo km tu ukikubaliana na vigezo na masharti yao, kwa simu nyingne sijui.

Kuhusu NIDA hilo linawezekana kabisa kama wakiamua ni kutengeneze apps then lazima utengeneze account ambayo itakuwa active mpaka uingize namba yako ya kitambulisho cha taifa kisha waingiza fingerprint yako ina-upload kwenye seva zao baadae tu wanakupa majibu ushasajiri laini yako ya mtandao fulani kesi imeisha.

Ila shida inakuwa hizi nyala za nchi hawa jamaa CIA wezi sana kwa taarifa za nchi za watu ndo mana mpaka leo ukienda RITA ukitaka taarifa za uzazi wa cheti cha kuzaliwa zinapekuliwa kwenye makaratasi hazipo katika mfumo wa kompyuta.

Kwa Ufupi ANDROID OS siyo salama kabisa na asilimia kubwa hawa unaoona Picha au video zao za kubanduana zinavuja hawa si km wengi wanadhani wanaziachia makusudi, wengi walizifuta yaan wakadelete wenyewe kabisa lkn ndo hvyo tena wanaduwaa zikiwa zimezagaa mtandaoni la ni wazo zuri sana mkuu.

Nakukubali sana kwa mawazo chanya yenye kurahisisha maendeleo. Tunahitaji vijana wenye mawazo chanya kama yenu kusukukuma mbele gurudumu la maendeleo kazi ya kujenga nchi ni yetu sisi vijana hivyo hongela mkuu kwa wazo zuri.
 
dmkali,
Taairifa zako tayari zipo NIDA kinachofanyika pale ni ku-link line yako ya simu pamoja, fingerprint pamoja na taarifa zako zilizopo NIDA
 
Lakin simu jua kwamba inatambulika kwa imei na unavojua imei zina badilishwa
Kama kubadili chassis number ya gari bila kufuata utaratibu ni kosa basi inapaswa kuwa vivyo hivyo kwa wanaobadili IMEI numbers.

Kwani hao wanaosajili sasa hawawezi kubadili IMEI numbers ya simu zao?
 
Sababu fingerprint scanner zinatofautiana, ya kwenye simu moja sio sawa na iliyopo kwenye simu nyingine.

Fingerprint technology sio very accurate kama watu mnavyofikiri, kawaida unaweka fingerprint, algorithm inachukua data na kuproduce estimate inayotunzwa kama hash flani, sasa tatizo algorithm za kusoma fingerprint zipp kibao, mfano samsung model moja inatumia algorithm tofauti na samsung model nyingine, zinakua na data tofauti hata kama kidole ni kilekile.

Tatizo sio kusoma data, zipo API kama android phones zinaweza ruhusu app ikapata hiyo data, tatizo ni utofauti kama nilivyosema hapo juu, leo simu A inasema wewe fingerprint yako ina match number 1, ukitumia simu B inasema unamatch number 10, lazima kuwe na standard ndo NIDA wanachokifanya, na nchi zote duniani wanafanya kama NIDA tu, wana mashine standardized kutoa namba ileile kwa the same fingerprint. Japo nayo sio 100% accurate ila inapunguza sana error rate.
 
Infantry Soldier, sivyo km unavyofikilia nchi inavyokwenda
usione vitu vingne kitekinolojia tupo nyuma
lah tunaacha tuu 7bu mambo haya yanahitaji ujuvi umakini zaidi ni ghalama kubwa mno
CIA hatengenezi kifaa chochote cha NIDA ila hupenda kutia mkono kwenye vitu vya msaada au vikiwa na manufaa kwake
kwa mfano ilo la RITA walitaka WAMAREKANI kutusaidia free kuziweka katika mfumo wa compyuta

ukitaka vitu encrypted ndo km nilivyokwambia
inahitajika ujuvi umakini na ni ghalama
 
Ushauri mwingine kwa mnaotumia fingerprint ku lock device zenu, ni rahisi taarifa zenu kupatikana kwa nguvu kidogo sana.

Mfano.
1. Unahisi una ushahidi kwenye simu yako aidha wa picha au sauti unaweza shikwa na vijana wawili walioshiba ugali wao wanaweka dole lako kwenye sensor kwa urahisi tu wanapata walichotaka.

2. Ukiwa umelala ni rahisi simu yako kufunguliwa na mtu kama mwenzetu ni wale wenye usingizi mzito.

3. Weka password / PIN ni nzuri zaidi kama simu yako ina taarifa nyeti.
 
CIA hatengenezi kifaa chochote cha NIDA ila hupenda kutia mkono kwenye vitu vya msaada au vikiwa na manufaa kwake
Kaka, that's what I was trying to suggest kwamba hizo computers pamoja na servers pia hutengenezwa na kampuni za wazungu kwa hiyo inakuwa ni rahisi sana kwa wao kufanya udukuzi
 
Hoja imeeleweka na ni rahisi sana kama itawezeshwa

Kuhusu kulogin Facebook, Insta n.k kwa finger scaner bila kuhitaji kuweka password mbona Samsung hiyo huduma ipo km tu ukikubaliana na vigezo na masharti yao, kwa simu nyingne sijui.

Kuhusu NIDA hilo linawezekana kabisa kama wakiamua ni kutengeneze apps then lazima utengeneze account ambayo itakuwa active mpaka uingize namba yako ya kitambulisho cha taifa kisha waingiza fingerprint yako ina-upload kwenye seva zao baadae tu wanakupa majibu ushasajiri laini yako ya mtandao fulani kesi imeisha.

Ila shida inakuwa hizi nyala za nchi hawa jamaa CIA wezi sana kwa taarifa za nchi za watu ndo mana mpaka leo ukienda RITA ukitaka taarifa za uzazi wa cheti cha kuzaliwa zinapekuliwa kwenye makaratasi hazipo katika mfumo wa kompyuta.

Kwa Ufupi ANDROID OS siyo salama kabisa na asilimia kubwa hawa unaoona Picha au video zao za kubanduana zinavuja hawa si km wengi wanadhani wanaziachia makusudi, wengi walizifuta yaan wakadelete wenyewe kabisa lkn ndo hvyo tena wanaduwaa zikiwa zimezagaa mtandaoni la ni wazo zuri sana mkuu.

Nakukubali sana kwa mawazo chanya yenye kurahisisha maendeleo. Tunahitaji vijana wenye mawazo chanya kama yenu kusukukuma mbele gurudumu la maendeleo kazi ya kujenga nchi ni yetu sisi vijana hivyo hongela mkuu kwa wazo zuri.
Kweli kwa samsung naitumia sana, 'Samsung Pass' naingia account zote kwa fingerprint tu
 
Haya mambo ya fingerprint kwenye android sio kabisaa! Unaweza ukaweka hata vidole vya paka vikafungua fingerprint yako aisee.
 
Daudi Mchambuzi,

hapana haina connections na NIDA! but nafikiri aliyetoa maada somehow yuko very logic! labda nimsaidie kumjibia!

hawa watu wanaosajili kwa alama za vidole, wanatumia simu hizi hizi android! lakini wao wana kitu kimoja cha ziada! wao wana ile external scanner ambayo wanaconnect kwa simu! Lakini pia wao huwa wanapewa software flan na service provider ambayo inko linked and NIDA, kiasi kwamba ili uweze access information toka NIDA inakulazimu "UAPLOAD" finger print yako!

sasa hoja ya mtoa maada ni kuwa, kwanini hawa service provider wasidevelop APP ambayo nikiidownload kwa simu yangu iwe linked either na wao before kuwa linked na NIDA ambayo itanilazimu niupload FINGER PRINT yangu kwa kutumia simu hizi zenye finger print.

Nafikiri hii ni nzuri na ingesaidia kupunguza usumbufu huu wa sasa!

Infantry Soldier
Itawabidi waongee na watengenezaji wa hizo simu mifumo yao iingiliane na mifumo ya hao NIDA
 
Back
Top Bottom