Vitaimana
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 3,535
- 1,556
Yaanni sarakasi mtindo mmojatukilalamika hivi utakuja kuulizwa kwa nini "ulimfolo"
Yaanni sarakasi mtindo mmojatukilalamika hivi utakuja kuulizwa kwa nini "ulimfolo"
Sasa akija mgeni wa Taifa lingine aone biashara ya ngono atatuelewaje watanzania? This isn't personal tuliongelee kiujumla wake kama Watanzania! Linatuletea sifa gani?Mimi sioni shida, kama hujamfollow hutaona alichopost, na hata ukikiona kitakuathiri kama ukitaka kikuathiri.
Sasa mkuu mtu akitangaza kwamba anauza mku*** na wewe siyo mteja unaathirika vipi?
Siamini kama TCRA hawana wataalamu wa IT
Nimeelewa mkuu. Nachomaanisha ni kwamba kuna wale wabongo wanaojiiuza live Kule. Kwani kina James delicious wanajiuza wapi? Kina kaoge wanajiuza wapi?
Mkuu. Inaonekana wewe ni MTEJA wao maridhawa kabisa. Naishia hapa. Umukiona mtu anatetea swala Fulani hakika kwa % anatakuwa mnufaikaMkuu kwani wakijiuza wanakulazimisha kuwanunua?
Sasa akija mgeni wa Taifa lingine aone biashara ya mikundu atatubebaje watanzania? This isn't personal tuliongelee kiujumla wake kama Watanzania! Linatuletea sifa gani?
Shida inakuja ni kuwa wanaofanya hivyo wanajulikana! Tunaishi nao na shuhuli za mtaan tunafanya nao! Impossibility nakuja kuiona moja ni kuwa TANZANIA IS A CELLULAR NATION ni ngumu kucontrol some ishues.Mimi nipo instagram ila hayo yote sijawahi kuyaona kama kero.
Nadhani ni suala la self discipline tu maana hata TCRA wakiblock instagram
je,
watablock na sites za ngono? hata ukiingia google tu ukaandika "SE.X" utaletewa picha ziendanazo na hizo..unataka na TCRA wakusaidie kuchuja?
Tujifunze self discipline.
Tuwafunze wanetu self discipline.
Know what to look, when and why..na kwamba chochote unacholisha akili yako ndicho kitakachokupa virutubisho. Huwezi kula ugali mkavu kila siku utegemee mwili uwe tayari kupigana na magonjwa!
Jinsi ambavyo TCRA haikuchagulii kunywa pombe au viroba au kuvuta sigara uipendayo basi si kazi ya TCRA kufungia hivyo ulivyovitaja.
SELF DISCIPLINE!!!!
Mkuu. Inaonekana wewe ni MTEJA wao maridhawa kabisa. Naishia hapa. Umukiona mtu anatetea swala Fulani hakika kwa % anatakuwa mnufaika
Mkuu insta ni kama mitandao mingine ya kijamii. Ukiwa na discipline huwezi kuwa punga wa kufollow hao wajinga.Wewe ni mnafiki kama wanafiki wengine, utakuta unaponda huko wakati una wapenzi kibao, au umeoa bado una michepuko, halafu eti unaponda watu wanaofanya mambo yao insta.
Fanya yako mkuu, kama inakupa vishawishi achana na insta, ndo wale wale mnakalia kuponda watu halafu kila siku mnawafollow.
Mkuu insta ni kama mitandao mingine ya kijamii. Ukiwa na discipline huwezi kuwa punga wa kufollow hao wajinga.
Ishu ni hii hata kama inafanywa imekuwa hadharan saaana mbona kuna mitandao yao kama peperonity sasa hii wanajianika sana utadhan maindi yanakaushwa!Ni nchi gani unayoifahamu haina hii biashara?
Chukulia mfano jirani zetu hapo Kenya, hii ni biashara halali kwao na wauzaji wanalipa kodi, ni sisi tu tunajifanya wanafiki wakati ni wateja wakubwa tu, bila kushahau viongozi wetu pia ni wateja.
Ni kweli mkuu. Mm kwenye akauntu yangu huwa nawafollow wanasiasa wanaoni inspire na watu wa mbele kama kina tirump na kwingneko huko mbali. Nina kichefuchefu na hao wanaojiuza huko insta. Huwa naenda kusoma tu kile ambacho kinakuwa kimeletwa jf kutoka insta. Otherwise. Wanaotakiwa kukomeshwa ni hawa mashoga. Hawa hawa hawa. Wanakera sanaHapo tunaanza kuongea lugha moja, so kama huwafollow hawawezi kukuathiri.
Hiko ndo ninachokiamini.
Siamini kama TCRA hawana wataalamu wa IT
hahahahahahaahahha (bold)Hivi TCRA hawayaoni yanayotendeka kwenye mtandao wa Instagram, yaani Malaya wote Tz wanajiuza Instagram kwa picha zao za uchi uchi, Mashoga wote wapo Instagram , matusi yote kuchambana Instagram,
Sasa sielewi hii cyber crime inatumika kwenye kukosoa tu viongozi na kuacha watu wanaovuruga maadili ya kitanzania, yaani ukitaka kujua kama bado una nguvu za kiume ingia Instagram utadindishaa mpaka uchoke, TCRA angalieni huku ni shida
Mange yupo abroad hawawezi kumfikia. Kww utaratibu wa USA hawawezi kumfuataWangekuwa nao Mange asingekuwa anawapeleka mputa pichu mkononi
Mange yupo abroad hawawezi kumfikia. Kww utaratibu wa USA hawawezi kumfuata
ExactlySijawah kufollow mbwa kama hao hata mmoja, ila kumbuka pale instagram mzigo unaanikwa sio lazima ufollow ndio uone