Mtandao wa Instagram wafanya mabadiliko mengine makubwa

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Messages
2,045
Points
2,000

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2017
2,045 2,000

Mtandao wa Kijamii wa Instagram umeondoa rasmi sehemu ya “Following Activity Tab” kwa lengo la kuboresha mahusiano na usalama wa watumiaji wake.Sehemu hiyo ambayo ilikuwa inampa uwezo rafiki yako aliyekufuata (Follow) kwenye mtandao huo, Kujua shughuli ulizozifanya kwenye mtandao huo ikiwemo Likes, Comments na watu uliowa-follow kwenye mtandao huo.

Akitoa tangazo hilo jana Oktoba 8, 2019, Mkuu wa Kitengo cha Uzalishaji Instagram, Vishal Shah, Amesema sehemu hiyo imekuwa ikipokea malalamiko mengi kutoka kwa wanandoa na viongozi wa dini.

Amesema kuna kisa kimoja kilitokea, Ambapo Mama mmoja alipewa taarifa na mdogo wake wa kike ambaye alim-follow shemeji yake na kudai kuwa Mumewe (Yaani shemeji yake) analike picha za mashoga na wacheza filamu za giza.

Vishal Shah amesema mama huyo ambaye alikuwa hatumii Instagram, Alienda hadi makao makuu ya Instagram kutaka akaunti ya mumewe ifutwe.

Kisa kingine ni cha kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Canada. Ambaye alikuwa anatabia ya ku-like picha zisizo za maadili pasipokujua kama followers wake wanajua.

Tayari mtandao huo kwenye baadhi ya nchi umeanza kufuta pia sehemu ya Likes, Ili kuboresha mahusiano ya watumiaji.

Feature ya “Following Tab” iliwekwa mwaka 2011 kwa lengo la kusaidia watumiaji wake kujua marafiki zao au watu maarufu waliowa-follow wamefanya nini kwa siku husika.
 
issac77

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Messages
2,535
Points
2,000

issac77

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2013
2,535 2,000
feature hiyo ikikuwa tamu sana yaani ukikagua mtu maarufu alivyolike na kucomment huwezi amini kama ni yeye kafanya hivyo
 
eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Messages
12,384
Points
2,000

eddy

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2007
12,384 2,000

Mtandao wa Kijamii wa Instagram umeondoa rasmi sehemu ya “Following Activity Tab” kwa lengo la kuboresha mahusiano na usalama wa watumiaji wake.Sehemu hiyo ambayo ilikuwa inampa uwezo rafiki yako aliyekufuata (Follow) kwenye mtandao huo, Kujua shughuli ulizozifanya kwenye mtandao huo ikiwemo Likes, Comments na watu uliowa-follow kwenye mtandao huo.

Akitoa tangazo hilo jana Oktoba 8, 2019, Mkuu wa Kitengo cha Uzalishaji Instagram, Vishal Shah, Amesema sehemu hiyo imekuwa ikipokea malalamiko mengi kutoka kwa wanandoa na viongozi wa dini.

Amesema kuna kisa kimoja kilitokea, Ambapo Mama mmoja alipewa taarifa na mdogo wake wa kike ambaye alim-follow shemeji yake na kudai kuwa Mumewe (Yaani shemeji yake) analike picha za mashoga na wacheza filamu za giza.

Vishal Shah amesema mama huyo ambaye alikuwa hatumii Instagram, Alienda hadi makao makuu ya Instagram kutaka akaunti ya mumewe ifutwe.

Kisa kingine ni cha kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Canada. Ambaye alikuwa anatabia ya ku-like picha zisizo za maadili pasipokujua kama followers wake wanajua.

Tayari mtandao huo kwenye baadhi ya nchi umeanza kufuta pia sehemu ya Likes, Ili kuboresha mahusiano ya watumiaji.

Feature ya “Following Tab” iliwekwa mwaka 2011 kwa lengo la kusaidia watumiaji wake kujua marafiki zao au watu maarufu waliowa-follow wamefanya nini kwa siku husika.
Ngoja niwahi account ya mbowe kabla yaijawa modified
 
School face

Senior Member
Joined
Sep 12, 2019
Messages
106
Points
250

School face

Senior Member
Joined Sep 12, 2019
106 250

Mtandao wa Kijamii wa Instagram umeondoa rasmi sehemu ya “Following Activity Tab” kwa lengo la kuboresha mahusiano na usalama wa watumiaji wake.Sehemu hiyo ambayo ilikuwa inampa uwezo rafiki yako aliyekufuata (Follow) kwenye mtandao huo, Kujua shughuli ulizozifanya kwenye mtandao huo ikiwemo Likes, Comments na watu uliowa-follow kwenye mtandao huo.

Akitoa tangazo hilo jana Oktoba 8, 2019, Mkuu wa Kitengo cha Uzalishaji Instagram, Vishal Shah, Amesema sehemu hiyo imekuwa ikipokea malalamiko mengi kutoka kwa wanandoa na viongozi wa dini.

Amesema kuna kisa kimoja kilitokea, Ambapo Mama mmoja alipewa taarifa na mdogo wake wa kike ambaye alim-follow shemeji yake na kudai kuwa Mumewe (Yaani shemeji yake) analike picha za mashoga na wacheza filamu za giza.

Vishal Shah amesema mama huyo ambaye alikuwa hatumii Instagram, Alienda hadi makao makuu ya Instagram kutaka akaunti ya mumewe ifutwe.

Kisa kingine ni cha kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Canada. Ambaye alikuwa anatabia ya ku-like picha zisizo za maadili pasipokujua kama followers wake wanajua.

Tayari mtandao huo kwenye baadhi ya nchi umeanza kufuta pia sehemu ya Likes, Ili kuboresha mahusiano ya watumiaji.

Feature ya “Following Tab” iliwekwa mwaka 2011 kwa lengo la kusaidia watumiaji wake kujua marafiki zao au watu maarufu waliowa-follow wamefanya nini kwa siku husika.
kwahiyo viongoz wa dini wanatazama porno afu wanatuzuia cc tusipate uhondo
 
Forum statistics

Threads 1,380,837
Members 525,893
Posts 33,781,174
Top