Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Hivi TCRA hawayaoni yanayotendeka kwenye mtandao wa Instagram, yaani Malaya wote Tz wanajiuza Instagram kwa picha zao za uchi uchi, Mashoga wote wapo Instagram , matusi yote kuchambana Instagram,
Sasa sielewi hii cyber crime inatumika kwenye kukosoa tu viongozi na kuacha watu wanaovuruga maadili ya kitanzania, yaani ukitaka kujua kama bado una nguvu za kiume ingia Instagram utadindishaa mpaka uchoke, TCRA angalieni huku ni shida