Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 3,804
- 8,797
Nitafanyia kazi wazo lako ila je kwa wasio na uwezo waendelee kuibiwa?!@Mkuu hamia dstv. hautajuta
Labda uwezo wa kufikiri. dstv kiwango cha chini ni shilingi 19,000 na hicho unacholalamikia ni elf 20. Hivyo dstv ni nafuuNitafanyia kazi wazo lako ila je kwa wasio na uwezo waendelee kuibiwa?!@
Sijui umeelewa ninacholalamikia ni vipindi vyao. 19000 pia ni pesa lakini kama ina value for money ni sawa ila kulipa kitu ambacho unakitazama miezi 6 ni wizi hata ingelikuwa shs.5 siangalii quantity naangalia quality. Nalalamikia Azam unakuja na ushauri hewa wa kuhamia DSTV kwa maana hiyo wewe kulikabili tatizo uwa unalikimbia baada ya kulikabili.labda uwezo wa kufikiri. dstv kiwango cha chini ni shilingi 19,000 na hicho unacholalamikia ni elf 20
hivyo dstv ni nafuu
Mtoa mada sikuelewi,mara nyingi marudio ndio hufanya watubwaelewe stori.Sijui umeelewa ninacholalamikia ni vipindi vyao. 19000 pia ni pesa lakini kama ina value for money ni sawa ila kulipa kitu ambacho unakitazama miezi 6 ni wizi hata ingelikuwa shs.5 siangalii quantity naangalia quality. Nalalamikia Azam unakuja na ushauri hewa wa kuhamia DSTV kwa maana hiyo wewe kulikabili tatizo uwa unalikimbia baada ya kulikabili.
Kama haujaelewa ungekaa kimya. Soma ulichokiandika.Mtoa mada sikuelewi,mara nyingi marudio ndio hufanya watubwaelewe stori.
Kumbe mpaka likupate! Walipoongeza gharama nilikuja hapa nikapiga kelele, wakajitokeza watu sita tu kuunga mkono hoja yangu. Kabla ya kuna Azam nilikuwa Star times ambako Mara kadhaa nilikwenda ofisini kwao kulalamia picha zilezile miaka zaidi ya kumi! Nikaachana nao. Nilipoingia Azam nanunua kifurushi bila ya kujua kilichomo ndani! Nikapost Azam mnatuuzia vifurushi ndani ya mifuko myeusi ya Rambo, mkakausha, leo nawe unakuja na yaleyale niliyoyalalamikia!Wakati TCRA na serikali wanapapatuana na Makampuni ya simu katika kumpa unafuu mlaji hasa kwenye vifurushi vya bando, kuna suala la hawa wamiliki wa Ving'amuzi.
Mimi nimekuwa victim na King'amuzi cha Azam kwa muda mrefu sana sijui kwa wengine. Wamefanya mabadililko sawa kwa kupunguza gharama za malipo lakini hapa kuna udanganyifu umefanyika. Lakini kubwa zaidi unalipa 20,000 kwa mwezi unaangali vipindi ama makala zilezile zingine zinazaidi ya miezi 6 ama mwaka kwa mfano National Geographic Wild kuna huyu Daktari wa Wanyama sijui DR. Paul ni marudio ya vipindi vyake.
Ukija huku kwenye channel ya Wadada wa kazi Sinema Zetu ni ujinga mtup. Kkila siku kuja sinema zinarudiwa sina muda wa kuangalia lakini dada zangu wa kazi walilalamika sana kuwa tunaibiwa sinema zao zinarudiwa sana.
Kuna yule jamaa wa kutoa majoka ndani hii Makala inazaidi ya mwaka wanarudia tu. Kwa usawa huu wa Mi5 tena hali sio nzuri maana 28000 ama 20000 kwa mwezi halafu unaangalia makala ama vipindi ambavyo vina zaidi ya mwaka hapa TCRA ingilieni kati.
Wanyonge acha waisome namba,kwenye kampeni walikuwa wanasifu na kuabudu.Nitafanyia kazi wazo lako ila je kwa wasio na uwezo waendelee kuibiwa?!@
Kifurushi cha 19 elf dstv utalilia chooniSijui umeelewa ninacholalamikia ni vipindi vyao. 19000 pia ni pesa lakini kama ina value for money ni sawa ila kulipa kitu ambacho unakitazama miezi 6 ni wizi hata ingelikuwa shs.5 siangalii quantity naangalia quality. Nalalamikia Azam unakuja na ushauri hewa wa kuhamia DSTV kwa maana hiyo wewe kulikabili tatizo uwa unalikimbia baada ya kulikabili.
Hoja siyo kuhama bali ni changamoto zidanyiwe kazi...Mkuu hamia dstv. hautajuta
Ndiyo shida ya wabongo, kukimbia tatizo, eti hamia dstv.. Hilo tatizo la Azam nami nimeliona, nilikuwa nalipa 23,000 but now nalipa 28,000 lakini programs za mwaka juzi zinajirudia tuu kama ile safari channel...Sijui umeelewa ninacholalamikia ni vipindi vyao. 19000 pia ni pesa lakini kama ina value for money ni sawa ila kulipa kitu ambacho unakitazama miezi 6 ni wizi hata ingelikuwa shs.5 siangalii quantity naangalia quality. Nalalamikia Azam unakuja na ushauri hewa wa kuhamia DSTV kwa maana hiyo wewe kulikabili tatizo uwa unalikimbia baada ya kulikabili.
Mwendo wa viporo tuu... Hata mkate au maandazi ni viporo tuu ila vimewekwa kwenye mifukoKwahiyo hoja hapo ni VIPINDI KURUDIWA!
Yaani wateja kurishwa VIPOLO kwa menu mpya!
Hapo sijui TCRA wataihandle vipi maana kwao wanashugulika kama king'amuzi Chanel hazionekan