Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 3,803
- 8,793
Wakati TCRA na serikali wanapapatuana na Makampuni ya simu katika kumpa unafuu mlaji hasa kwenye vifurushi vya bando, kuna suala la hawa wamiliki wa Ving'amuzi.
Mimi nimekuwa victim na King'amuzi cha Azam kwa muda mrefu sana sijui kwa wengine. Wamefanya mabadililko sawa kwa kupunguza gharama za malipo lakini hapa kuna udanganyifu umefanyika. Lakini kubwa zaidi unalipa 20,000 kwa mwezi unaangali vipindi ama makala zilezile zingine zinazaidi ya miezi 6 ama mwaka kwa mfano National Geographic Wild kuna huyu Daktari wa Wanyama sijui DR. Paul ni marudio ya vipindi vyake.
Ukija huku kwenye channel ya Wadada wa kazi Sinema Zetu ni ujinga mtup. Kkila siku kuja sinema zinarudiwa sina muda wa kuangalia lakini dada zangu wa kazi walilalamika sana kuwa tunaibiwa sinema zao zinarudiwa sana.
Kuna yule jamaa wa kutoa majoka ndani hii Makala inazaidi ya mwaka wanarudia tu. Kwa usawa huu wa Mi5 tena hali sio nzuri maana 28000 ama 20000 kwa mwezi halafu unaangalia makala ama vipindi ambavyo vina zaidi ya mwaka hapa TCRA ingilieni kati.