TCRA mna habari na message hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TCRA mna habari na message hii?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MIGNON, Mar 18, 2011.

 1. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,587
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Jana usiku nilitumiwa message ifuatayo ambayo naamini imeelekezwa kwa Waislamu.
  TCRA mlishindwa kushughulikia message iliyotumwa kwa namba ya Ulaya wakati wa kampeni.Hii ya leo inaonyesha mbegu ya udini inavyopandwa na wote tunajua hatari ya udini.Hata kukemea inatosha kuliko kukaa kimya.

  “Mpango wafichuka!!!Chadema wametenga bilioni 20 za chakula,malazi na kusafirisha vijana toka mikoa ya Mwanza,Musoma,Mbeya,Moshi na Arusha kupelekwa jijiniDar kwa ajili ya maandamano ya kuikataa serikali ya JK.Makanisa yanaendelea na mikutano huko Mbeya.Tujipange,tuma kwa mwanaharakati unaemuamini”

  Aliyenitumia namfahamu nae anadai katumiwa na mwanaharakati.
   
 2. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Acheni kuingia ktk mtego wa udini ambao CCM imekuwa ikiutega na kuwakamata watu wengi. Kukemea ufisadi sio udini. Nina imani kama una busara sidhani kama utaingia mtegoni kiurahisi.
  Ufisadi ni ufisadi tuu na unatakiwa ukemewe na upigwe vita na haijalishi Raisi akiwa mristo, mwislamu, Jehova, Bohora, ama Budhha kama ni fisadi lazima aambiwe ukweli.
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  tuwekee no iliyoleta hiyo msg
   
 4. m

  mareche JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  udini unapandikinza na watui kama ww eneza naendeleo ya nchi sio chuki
   
 5. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Msibishe tu,El-baradey kule Misri alifanya nini? Lisemwalo lipo na kama halipo basi linajongea.Nyaraka za siri makanisani wakati wa uchaguzi sasa zikowazi.Uchochezi ni mkali kupita maelezo,mi binafsi ni Muislam na mahali pa shughuli zangu asilimia 99.8 ni wakristo kwahiyo hapa napata mengi sana tena sana.Naomba leo niishie tu hapa kwani huko tunakoelekea ni kubaya sana.
   
 6. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Acha upuuzi wewe!!
   
 7. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Before God we are all equally wise - and equally foolish. Mwenye mawazo ya uislamu au ukristo kwa nia kutafuta madaraka au kubakia kwenye madaraka na wote walaaniwe accordingly.[FONT=&quot] [/FONT]
   
 8. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  mkuu umechangia mada au umeanzisha yako ndani ya hii. Inaongelewa sms ambayo inatushangaza we unakuja na madai mapya!du!
   
 9. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 631
  Trophy Points: 280
  shit!!!
   
 10. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,587
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  MARECHE,tafadhali tumia akili na busara kidogo.Soma kitu nilichoandika kwa umakini,ni wapi nina eneza udini zaidi ya kuwaomba TCRA wakemee message kama hizi?Mnashusha hadhi ya jamvi.
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  you have been successfully seduced by a Satan
   
 12. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Faith without reason is a blind faith which could be labeled any name; superstition, sorcery, wendawazimu and what have you. What has religion to do with chadema in the light of what they are enlightening Tanzanians. Watu wanaoshabihisha wanayoelimisha cdm na udini ni irrational na WAO NI SEHEMU YA MATATIZO YA TANZANIA. Please get out of your reasoning holiday. Truth is objective hasa linapokuja suala la kujadili maendeleo ya taifa unless tunafanya tu ushabiki which should not be the case. Get out of your irrationality slumber you odd guys
   
 13. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Bilioni 20??????????
  Hapo penye red, kumbe nayo imeshakuwa mikoa?
  Duh!
  Kweli Tanzania inazeeka vibaya..
   
 14. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,608
  Likes Received: 2,461
  Trophy Points: 280
  Mkuu umesema uchohezi ni mkali kupita maelezo, na ukadai wewe ni muislam na ukazidi kwenda mbele zaidi kwa kutuhabarisha kuwa sehem unayofanyia kazi 99.8 asilimia ni wakristo. Je uchochezi unaouzungumzia ni upi na unataswira gani na kwa ukubwa upi labda, em lete ushahidi ili tuamini yale unayoyazungumzia kutuambia eti sehemu unayofanyia kazi wakristo ni wengi na wewe pia ni muislam bado haitoshi. Na je kama ulishaiaminisha akili yako kuwa tunakoelekea ni kubaya unataka na wengine pia waamini pasi na ushahidi kuwa huko tuendandako ni kubaya! Mkuu lipokuja swala la udini akili inabidi ifanye kazi sana, jaribu kuwa makini vinginevyo punguza bla-bla zako.
   
 15. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  is too late kuwagawa watanzania katika mising ya kidin, Watz tu kitu kimoja
   
 16. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Ila kwa ujumla huo ni uzushi mtupu. Lakini hao wanaodanganywa wajipange kwelimweli kwani hiyo mikoa ina wanaume haswaa... Wakiingia mjini wala tende na halua hamtasimama nao. Bora mjikite katika kujiletea maendeleo yenu badala ya kujihusisha na chokochoko za kugombanisha watanzania. Kama mna hamu ya vita si mkamsaidie swahiba yenu ghadafi libya,
   
 17. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Busara ya kawaida ingemfanya aliyepokea message hiyo akae kimya badala ya kuileta hata na kuifanya mada kubwa !

  Hao TCRA wenyewe usingizi mzito hata kwenye masuala ya msingi kama watumiaji wengi wa simu tunavyodanganywa kuhusu promotion ambazo si za kweli hawasemii lolote, ndio uje uwategemee kwenye uzushi kama huu naamini itakuwa sio rahisi.
   
 18. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  CCM ndio wachochezi, lakini namshukuru mungu kwamba watanzania si mabwege na wanalotaka wasambaza message hawatalipata
   
Loading...