ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,649
- 2,805
Jamani tuliambiwa tusajili laini kwa alama za vidole ili kupunguza laini feki na wale wa"tuma kwenye namba hii" lakini jambo la kushangaza bado wezi awa wanatusumbua mpaka sasa ivi TCRA mko kimia.
Zifuatazo ninamba zilizonitumia sms za wizi kuanzia January mpaka sasa ivi.
Leo wamenipigia kabisa wakidai wamekosea namba eti wametuma ela kwenye line yangu kwa makosa
+255 693 722 156
Kwanini TCRA isifumuliwe na kusukwa upya?
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1414150
Sent using Jamii Forums mobile app