Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Baada ya TBC kupotosha umma kwa taarifa feki.Sasa ni muda wa TCRA kuchukua hatua dhidi ya kituo hicho.
Tumeshuudi vituo vingine vikipigwa faini mbali mbali wanaporusha habari tata.Lakini TBC ni wiki ya pili TCRA wapo kimya tu.
Msipo waadhibu TBC na tusisikie tena kelele zetu eti kuna kituo kimepewa adhabu au onjo.Washughulikiwe kama wengine na uwe mfano!