Ninavyojua mimi kutumia picha au sauti ya mtu mwingine bila ridhaa(rukhsa) yake ni makosa.
Redio free Africa(RFA) wanaweka audio clip ya Mh Lowassa ile ya Kwamba hatohama ccm na kisha ile ya ccm sio mama yangu kisha kuna kicheko halafu wanapiga wimbo wa komba wa ccm kama kuipromote ccm.
Swali langu kwa TCRA ni sahihi kwa kituo cha redio kufanya kitu kama hiko? Kwenye hiyo clip inayopigwa na RFA inatumika kumchafua mh ENL je akilalamika kuhusu ilo mtaisimamia haki yake?
Mbona ni simple case. UKAWA na wao waweke ile clip ya JK alomsifia Lowassa kwenye bunge au ile clip ya kamati kuu ya CCM waloimba tuna imaaaniii na LowaaSaaaa ! ! I oyaa oyaa oyaa .
Nakumbuka walimuimbia hiyo akapigwa na mshangao ikabidi aunganenao kupiga makofi. Na hata octoba itakuwa hivyohivyo watalazimika kumpigia makofi baada ya maamuzi ya wengi.