Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,798
- 71,218
Watu wanaweza kuona ni jambo dogo katika huu wizi wao wa vifurushi vya MB kwani wanapigwa kidogo kidogo yaani elfu 2 au 3 kila wakati lakini jee kama wana wateja milioni 2 au 3 wanafanyiwa hivyo ni kiasi gani kinaibiwa kwa siku au mwezi?
Yaani unahakikisha settings zako za simu ziko saw a kabisa na unaweka GB zako 3 au 5 lakini katika matumizi ambayo unahakika hata GB 2 hazijatumika unakuta kifurushi ni almost empty.
Hiyo mitambo yao TCRA wanaihakiki? Mbona malalamiko haya yamekuwa sugu sasa na wao hawahangaiki kufatilia na kutoa taarifa?
Au kimekuwa chanzo kingine cha mapato ya serikali hivyo ni ushirika wao TCRA na mitandao?
Au maofisa was TCRA wako kwenye payrolls za makampuni haya ya simu maana kwa faida ya wizi wanayoipata hata kuwaingizia 50m wahusika kwenye accounts zao abroad inawezekana bila chenga kabisa.