GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,694
- 109,127
Waende FIFA hahaaaaaNaona wana Simba mmejazana humu, hahahaaaa, malalamiko fc mnashida sana, yan nyie kila siku mnaonewa nyie tu, hamna jema wallah, yani kila walipo wanasimba ni malalamiko tu, leo mtawalalamikia viongoz wenu, kesho refa, keshokutwa tff, mtondogoo malinzi, dewji, simba ukawa, yanga, nk,nk sasa naona mmehamia kwenye redio, bado tv, magazet, blog, etc....mnaboa sana, watoto wa kiume achen kulialia, ila tushawazoea hakuna anaeshtuka.
Amna bana mi namtetea jamaa hapondi simba kiivyo inavyoongelewa, mm shabiki wa simba lkn sjawah kuona habar zinazoongelewa halaf c ukwel, vingi vinavyoongelewa ni ukwel xx apo tatizo liko wapi
si kuna maestro pale kindakindaki wa simba
Huyo aliyeanzisha mada tunamjua, ana matatizo na Yanga...lakini wewe mzee mzima kimekukuta nini uanze kujitekenya na kucheka?Simba ndiyo timu bora,lazima watu wanaisema sana. Sasa yanga ya wazee nani ahangaike nayo. Anaponda ili adhoofishe ubora lakini wapi. Kila siku wanajadili kilicho bora. Timu mbovu haiwezi jadiliwa kila siku.
TCRA!!
hawa walioshindwa simamia hata local channels bure.