Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 373
Hivi jamani why is it so easy kwa watu kupata print out ya simu hapo Bongo? TCRA wameshindwa kabisa kuyabana makampuni ya simu ya tighten huu upuuzi? Kila siku tunaona story zikiandikwa magazeti jinsi wa wanavoanikwa- unaona quotes za sms na mida ambayo watu wamepigiana simu, etc! Yani ni kwamba ukiwa na hela tu ukiwaaproch wafanyakazi wa makampuni ya simu watakuma records za namba yoyote unayotaka! Mbona hatuyaoni haya kwa wenzetu waliondelea?