isajorsergio Platinum Member Joined Apr 22, 2018 Posts 4,152 Reaction score 6,601 Dec 8, 2018 #2 Safi sana vijana tunazidi kushtuka 👊
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,733 Reaction score 82,069 Dec 8, 2018 #3 Sasa mkuu hapa tutengeneze joint venture, mimi naandika hizo makala kutokana na mada unayotaka kisha wewe utafanya mengine alafu tunakupaliana malipo. Kama imekaa poa nicheki tuyajenge kiingereza kimenyooka kama suti ya mkulu.
Sasa mkuu hapa tutengeneze joint venture, mimi naandika hizo makala kutokana na mada unayotaka kisha wewe utafanya mengine alafu tunakupaliana malipo. Kama imekaa poa nicheki tuyajenge kiingereza kimenyooka kama suti ya mkulu.