annabela78
Member
- Sep 28, 2009
- 5
- 0
yule mama kaajiri mabomu katika ngazi ya juu ya utawala, yaani mkurugenzi wa utumishi ,pamoja afisa mkuu wa utawala wote ni maboya pale hawafanyi chochote cha kuwa motisha wafanyakazi zaidi ya kuhangaika na ngono za kulazimisha kwa wafanyakazi, bahati mbaya mkurugenzi ruhongole na afisa utawala vyamana ni waha wa kigoma na bahati mbaya zaidi tabia zao zinafanana, wana roho mbaya kwa wafanyakazi, wanaupendeleo katika mambo mbalimbali zikiwemo ajira, si wabunifu wa kuboresha maisha ya wafanyakazi, wao wanasubiri waambie habari ya kubana matumizi hapo umewafikisha kuhalalisha roho mbaya, wanapenda kunyenyekewa hasa na watoto kike, wana karibu miaka mitano hakuna hata kimoja walicho buni na ku implement chenye manufaa kwa wafanyakazi ambacho wafanyakazi watakuwa wanakumbuka .
Kwa kifupi toka walipoingia hawa jamaa maisha ya wafanyakazi yakaanza kuwa mabaya , thamani ya tcaa na kujivuna kwetu ndipo ilipofikia tamati, huyu bibie munyagi muda wake wakustaafu umefika sasa anaangalia mambo yake aviation house huku ana haha aongezewe contract aendelee kufaidi, kwa hiyo hana muda wakushughurikia kero za wafanyakazi, bodi nayo ikishalamba posho basi mambo mengine mtajiju.
Sasa kwa hali hii wafanyakazi watang'ang'ania hapo wanatafuta nini?
New generation are focusing for their future not blabla
mimi nafikiri hujui unachoongea, huyo mama unayemsema amelitumikia taifa zaidi ya miaka 30 kwa bidii zote. Upewe wewe huo ukurugenzi tuone utafanya nini.
Mama yangu hana shida mpaka afikirie kuongezewa muda wa mkataba wake. In short, do your research before commenting on things you have no clue on.