TBT

Hakuna funzo lolote.
Stori yake ni nzuri majukwaani ila sio nzuri kijamii. Kuna sehemu anasema huwa anaipigia makofi k yake kwa kumpa vingi. Je wewe unaweza mshauri binti yako atumie k yake kupata vingi toka kwa wanaume?

Mawazo yako na yaheshimiwe.
Anza na story mwanzo nilikuwa nafanya kazi rasmi na muajiriwa kabisa.
Mie nashauli binti aifanyie chachote k yake. kupata pia na bahati unaweza toa na kuambulia chips fanta
 
ephen_ kuja usome mi sitaki kuharibu upako wa leo, maana najua mambo ya bi chau hayatakosekana humo.

Nyumba na kiwanja cha Goba unavyo mlaka leo?
 
Mawazo yako na yaheshimiwe.
Anza na story mwanzo nilikuwa nafanya kazi rasmi na muajiriwa kabisa.
Mie nashauli binti aifanyie chachote k yake. kupata pia na bahati unaweza toa na kuambulia chips fanta
Hukunielewa dada.
Hapo nilimjibu alieleta ushauli kwa wanaume tujifunze kuhonga.
Ndio maana nikasema stori ni nzuri jukwaani ila sio katika jamii.
Mfano leo unaweza kumshauli binti yako atumie k yake kupata vitu kwa wanaume eti kwa kuwa wewe uliitumia? Hio ndio upende wa jamii.
 
kumbe,,, mi sijatumia k bali bahati ilinifuata kupitia k yangu!!!!!
Hapo la ajabu hakuna hivi ukiwa na mwanaume ana pesa na kakuoa hapo k hutumii.
Soma kwa kuelewa
 
labda wewe bado mtoto!!! unaweza kumnyima kyuma mwanaume akikutupia hapo 20m cash???
Halafu ku cheat haimaanishi unamchukia au humpendi mpenzi uliye nae
Kwa hiyo pesa heshima, 😁😁
Anyway, tuseme umempata mtu wa kukutupia hata 100m ila kuna tetesi ana grid, na kwako amekuwa specific kabisa anataka kavu. Unachukua au unatema bungo?
 
Kwa hiyo pesa heshima, 😁😁
Anyway, tuseme umempata mtu wa kukutupia hata 100m ila kuna tetesi ana grid, na kwako amekuwa specific kabisa anataka kavu. Unachukua au unatema bungo?

Pesa ina heshima yake bwana!!!!
Sasa naanzaje kukataa si najiweka kwenye mode ya kutumika tunaandana fresh nampa!!!!!
Bora upate ukimwi kwa aliyekwambia kuliko mtakatifu anae kuua kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…