mi nakutaka wewe pekeako dada ake sitaki hao wengine🤣Kiukweli jicho lipo.....
Mafunzo kama kweli unahitaji siku hizi makungwi wengi mnooo mpka TikTok wapo.
Ingia chimbo mtoto wa mama mkwe anene kwa lugha
Sema dada ake vita ume vipigana meza uliyo kuwa una tingisha ilikuwa ya vinywaji vikali 😃 mmama wa kijani kijani ukamtoa knockout na akatulia duhaaaaah! nisamehe tu
Leo mpaka bubu umeongea leo dada 🙌🙌🙌TBT 3 kuna punchlines za hatari dada ake 🔥🔥🔥🤣
Cine club pame fungwa hivi nimemiss mishkaki ya samaki pale ☺️
Mimi na leo dada naona damu zina endana 😄
Like serious??...tunajuana bana!Hunijui bwana,,, kitambo sana mi nilihama huo mji.
Lakini Kuna dada wa mujini nafanana nae sana
Nakupenda wewe na hii TBT yako😅😅Na bado hii mpaka babu aongee
Mzurim
maana yake nn kihaya sikijui
Uwiiiii! 😅😅Huyo pimbi aliyekutisha kuhusu picha makebo yake!!
😃😃Punchlines zako imebidi niweke simu chini niji pepeeee 😆😂