Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,450
- 12,317
Hapa ilikua ni video shooting ya wimbo wa Mwana FA habari ndio hiyo mwaka 2007...
Say something mi corazon
NDIO MAANA UKIWAONA WATU WANAKULA FAIDA ZAO USIWAONEE WIVU, WAULIZE MISOTO MINGAPI WAMEPITIA. STARTING FROM THE BOTTOM SI MCHEZO, ACHA WALE MAISHA YAO MENGI WAMEPITIA TOKA WAYBACK HADI SASA.Hapa ilikua ni video shooting ya wimbo wa Mwana FA habari ndio hiyo mwaka 2007...
View attachment 1068942View attachment 1068943View attachment 1068944
Haswaaa tusiwapangie watu matumizi...hatujui magumu waliyopitiaNDIO MAANA UKIWAONA WATU WANAKULA FAIDA ZAO USIWAONEE WIVU, WAULIZE MISOTO MINGAPI WAMEPITIA. STARTING FROM THE BOTTOM SI MCHEZO, ACHA WALE MAISHA YAO MENGI WAMEPITIA TOKA WAYBACK HADI SASA.
ila pharel yule mbrazil aisee hazeeki,Jay Zee siku hizi kidogo naona ashaanza kudodoka mashavu....Snoop dog naye bado sana he look too young...Alikiba anaingia anga za kina Pharell Williams & Will smith hawazeeki hawa watu!!..
Jay z tangu afuge rasta simwelewi kabisa,inavuta jani nini?ila pharel yule mbrazil aisee hazeeki,Jay Zee siku hizi kidogo naona ashaanza kudodoka mashavu....Snoop dog naye bado sana he look too young...
Dunia inaenda kwa kasi sana... hii unataka uikaukie kama ulivyokuwa unakauka ukikojoa kitandani. Au hukupitia enzi hizo chalii anguKwahiyo?
ataachaje? hahaha