TBT ya Ali Kiba miaka 12 iliyopita

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,440
12,294
Hapa ilikua ni video shooting ya wimbo wa Mwana FA habari ndio hiyo mwaka 2007...
Screenshot_20190411-201625.png
IMG_20190411_201654.jpg
IMG_20190411_201721.jpg
 
NDIO MAANA UKIWAONA WATU WANAKULA FAIDA ZAO USIWAONEE WIVU, WAULIZE MISOTO MINGAPI WAMEPITIA. STARTING FROM THE BOTTOM SI MCHEZO, ACHA WALE MAISHA YAO MENGI WAMEPITIA TOKA WAYBACK HADI SASA.
Haswaaa tusiwapangie watu matumizi...hatujui magumu waliyopitia
 
Alikiba anaingia anga za kina Pharell Williams & Will smith hawazeeki hawa watu!!..
ila pharel yule mbrazil aisee hazeeki,Jay Zee siku hizi kidogo naona ashaanza kudodoka mashavu....Snoop dog naye bado sana he look too young...
 
Hapo ukimsogelea ananuka kwapa na mdomo lakini sasa hivi utasikia 'yooooooh' kama vile hanyi. Kichwani kapaka zanzuu hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom