TBT: Elizabeth Michael Lulu na Marehemu Steven Kanumba

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,866
image.jpeg
 
Hapo ni bila Shaka walikuwa either location au kupiga picha za kawaida!
 
Yaani luluuu weee ivii waumee za watuu huwa wanampendeagaa nini??watu wanaacha wake zaoo wanahonga majumbaa..Ni kwa sangomaa au ana Bahati zakeeee???
 
Yaani luluuu weee ivii waumee za watuu huwa wanampendeagaa nini??watu wanaacha wake zaoo wanahonga majumbaa..Ni kwa sangomaa au ana Bahati zakeeee???
Bahati zake Mama,kama una nyota ya Punda utaishia kubebeshwa mizigo na kuachwa
 
Back
Top Bottom