Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Ha Haaaa....
ya dole!Umenikumbusha siemens yangu
Mkuu umenikumbusha enzi hizo nlienda Tarakea uko wakati huo ndio netwek ya buzz imefika kwa mara ya kwanza...nilipewa mfuko wa nylon umeandikwa "TARAKEA WANAONGEA NA BUZZ"Enzi za nokia jeneza.
Mkuu umenikumbusha enzi hizo nlienda Tarakea uko wakati huo ndio netwek ya buzz imefika kwa mara ya kwanza...nilipewa mfuko wa nylon umeandikwa "TARAKEA WANAONGEA NA BUZZ"
Ha haa haaa
Nilikuwa nayo c 45 ina mwanga flan hivi kama kandili (chemli )kalikuwa kazuri sana ndio waqt wetu tena huoUmenikumbusha siemens yangu