TBS,TFDA,WMA NA FAIR COMPETITION

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,217
Embu tujadili haya mashirka yalio pewa majukumu ya kusimamia afya za watanzania,isipokuwa

Wakala wa vipimo wao kazi yao kubwa ni kuhakikisha mlaji hapunjwi na wafanyabiashara.

Wma ni wadhibiti wa vipimo vyote Tanzania.

Embu funguka zaidi....
 
Back
Top Bottom