Ukishafanya oral ukipasi ndio hua wanapiga simu mara nyingi kuthibitisha ulivoviandika kwny cv ,wengi hua hawapigi hata hizo simu lakini kazi unapata
Pia wengine wanapiga b4 lakini mara chache sana
simaanishi waite watu wengi kama nssf ila kuna ratio inayokubalika hata na serikali 1:3 sasa hawa wanajiamulia tu.
mkuu walioitwa usaili wa kuandika tbs umeangalia ratio yke ?
mkuu achana na tbs aiseee,,,unakumbuka mwaka jana waliita watu kwa written pale udsm,lakn wakaja kushortlist watu wachache kwa oral
mi naona wamefanya fair coz wakiita wengi watawapotezea mda.
pili taasisi za serikal mpk uwe na "network" vinginevyo hupati.......ni km nssf bila kua "dini flani" hupati NG'OOOOOO
nimeona aisee nafikiri kila aliyeomba ameitwa sidhani kama kunamtu ameachwa! ila nahisi wengi hawatakuja hasawamikoani.
Tunakuja
na kujuana je?Ha! Ha! Mimi siji
Ni kweli wengi hawatakuja ukiangalia wengine hadi waombe ruhusa makazini bado wajifue kwa interview huku kaz zinawasubiri
Kila la kher mtaohudhuria ,af kumbe kazi zingine ni contract
Watakaopata kazi wakitaka kuapply sehem nyingine serikalini kipengele cha kupitisha barua kwa muajiri kinawahusu.
Ahahahahahaha Allen Snr bhana unanifurahisha sana ndo shahada zetu izo mkuu tuzoeane tuMahojiano au Kuongea? lakini una degree mkuu !