Siamini hawa watu walioitwa TBS ndio walioapply...shortlist wametumia vigezo gani kupata ? Maana kama gpa hawajasema..naombeni msaada wa kufafanua haya Mambo..ili wakitukata post nyengine zilizobaki nisishangae..hr nisaidieni..mbona mara ya kwanza hawajafanya hivyo ?
Siamini hawa watu walioitwa TBS ndio walioapply...shortlist wametumia vigezo gani kupata ? Maana kama gpa hawajasema..naombeni msaada wa kufafanua haya Mambo..ili wakitukata post nyengine zilizobaki nisishangae..hr nisaidieni..mbona mara ya kwanza hawajafanya hivyo ?
Haujaelewa maelezoG.P.A ? kwenye cheti chako kuna G.P.A ndo madhara ya Kupiga chabo hayo kuna ndugu yangu ana pass lakini alivyopiga interview wapiga chabo kama nyinyi aliwatoa nje ya reli akalamba ajira very easy. Najua utakua na ka upper second kanakufanya uhoji.
At least unapoint ya kunoteKama CV yako haijashiba or not well-typed and organized kwa nn wakuite interview.? kama barua yako ya maombi haimshawishi mwajiri kwa nn wakuite interview.? Mwisho, kama barua yako haijawafikia kabisa au haijawafikia kwa wakati watakuitaje interview.?
Mfano metrologist physics watu 7 kwa 16 huu ni usanii kabisa at least watu waitwe 21 kwa ratio ya 1:3....na waliosoma Bsc in physics wapo wengi waliomaliza udom lakini wamekatwa bila hata kupimwa uwezo wao..ndio maana nauliza vigezo gani wametumia hawa TBS ?kiukweli hawako fear kabiasa haiwezekani kwenye nafasi 5 waite watu 11 wangetoa nafasi kwa watu wote waliokizi vigezo wafanye written kisha washortlist wa oral .Tumaini lilibaki kwa watoto wa masikini ni utumishi tu.
Unasubiri kuitwa kwa vigezo vip kijana ? Au unamtu TBS ? Maana hata kama oral interview waliowaita hawapo kwenye ratio sahihi ya 1:3mm nasubiria kuitwa
Mfano metrologist physics watu 7 kwa 16 huu ni usanii kabisa at least watu waitwe 21 kwa ratio ya 1:3....na waliosoma Bsc in physics wapo wengi waliomaliza udom lakini wamekatwa bila hata kupimwa uwezo wao..ndio maana nauliza vigezo gani wametumia hawa TBS ?
Unasubiri kuitwa kwa vigezo vip kijana ? Au unamtu TBS ? Maana hata kama oral interview waliowaita hawapo kwenye ratio sahihi ya 1:3
Hata utumishi ni hvyohvyo.watu mnakaa siku nne Dsm. Lkn mwishowe unatemwa
wametoa majina chekini wadau kwa ajili ya usahili wa kuongea
kiukweli hawako fear kabiasa haiwezekani kwenye nafasi 5 waite watu 11 wangetoa nafasi kwa watu wote waliokizi vigezo wafanye written kisha washortlist wa oral .Tumaini lilibaki kwa watoto wa masikini ni utumishi tu.
Wapo fair sasa waite watu wengi wanini wameita wachache wanaoona wanafaa ,wakiita wengi mnalalamika wachache pia mnalalamika duu
Wakuu nipeni ujuzi wenu kwa hili.
Hivi wale referees wanaowekwa kwenye CV huwa wanakuwa contacted wakati wa kuchagua watu wa kuitwa kwa ajili ya interview??