masanzu
JF-Expert Member
- May 6, 2013
- 605
- 217
Habari wana jamvi,
Huwa najiuliza sana hivi hili shirika LA viwango Tanzania wanafanya kazi ipi maana utasikia zimekamatwa bidhaa bandia na TFDA tena madukani na vimepitia bandari yetu au kupitia kwenye mipaka yetu huwa najiuliza sana hawa TBS kazi yao ni ipi sasa.
Maana hata ukienda madukani utakutana na bidhaa bandia tena nyingine zina nembo ya TBS ingia kwenye maduka ya simu bandia kibao na sijuwi hawa TBS ukaguzi wao wanaufanyia wapi au sheria inasemaje kuhusu hawa jamaa.