TBS hizi nguo za kichina mnaziona?

TBS hizi nguo za kichina mnaziona?

Kiukweli tunapigwa sana unanunua shati au suruali ya elfu 20 hadi 40 unavaa mara mbili limekwisha na usipokuwa makini zinaweza kukuchanikia mwilini.
bajeti ndogo kwa nguo io
shati waLau ianZie,100K

natania wakuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom