kutokana na kipengele cha 14 cha DSE, TBL wanatakiwa wa disclose management yao, watakuwa wamedisclose kwa DSE lakini pia wananunuzi wa hisa wanatakiwa wawe wanajua uongozi wao. kwa hili wanatakiwa wawe na website yao na waweke uongozi wao online na kwenye financial statement ili uwe available kwa prospective buyers all time.14. Directors and Management
Disclosure of age, qualification and relevant experiences for the preceding five years. DSE
hii statement inatakiwa iwe online available all time kwa buyers.15Financial Statements
Must be IFRS compliant and must have been audited by authorized auditor.
lazima wa disclose dividend policy kwa buyers. hii ni sababu ni tosha ya kuwa na website na financial statement.25 Clear dividend policy
The Issuer to disclose clear dividend policy.
Nimeipenda observation yako. Nilikuwa naandika kitu fulani kuhusiana na DSE na kampuni zake ambazo zipo listed nilikutana na upuuzi huo. Yaani wanaficha details zao utazania ni private companies. Haya ndio tunayosema tunakimbilia kuiga wakati uwezo hatuna. Utawaona kesho asubuhi wnakurupuka.kwa muda mrefu nimekuwa nikitafuta website ya TBL bila mafanikio yeyote
TBL ni kampuni ambayo iko listed kwenye DSE na wanachi waTZ wananuna shares kutoka TBL bila kujua hali ya kifedha ya TBL, bila kujua uongozi wa TBL na bila kujua dividend plociy ya TBL.
watu wengi wanananua shares TBL kutokana na kuzagaa kwa bia zao na ivyo kuashiria kuwa ni kampuni kubwa lakini ukiwauliza hali ya kifedha au uongozi hawaujui.
kutokana na kipengele cha 14 cha DSE, TBL wanatakiwa wa disclose management yao, watakuwa wamedisclose kwa DSE lakini pia wananunuzi wa hisa wanatakiwa wawe wanajua uongozi wao. kwa hili wanatakiwa wawe na website yao na waweke uongozi wao online na kwenye financial statement ili uwe available kwa prospective buyers all time.
na kwa kuongezea mapungufu ya hii sheria - shareholders/prospective buyers wanatakiwa wawe wanajua renumeration package za hawa jamaa
hii statement inatakiwa iwe online available all time kwa buyers.
lazima wa disclose dividend policy kwa buyers. hii ni sababu ni tosha ya kuwa na website na financial statement.
CEO wa DSE unafanya kazi gani mpaka waTZ wanauziwa mbuzi kwenye gunia, au huu ndio ulevi wa madaraka au kutokujua unafanya nini??
najua kuwa parent company ya TBL yani SABMiller ina website na financial statement lakini hizo ni kwa ajili SABMiller iko listed JSE na LSE. SABMiller haiko listed DSE. WaTZ wananua shares za TBL na sio SABMiller
TBL iko listed DSE lazima itoe statement yake separately na sio kutumia group statement ya SABMiller kwa ajili hiyo haionyeshi TBL inaonyesha SABMiller
Dar stockmarket surges as new CEO takes office
BOOKMARKPRINTEMAILRATING
By ABDUEL ELINAZA (email the author)
Posted Sunday, January 31 2010 at 11:02
Dar es Salaam Stock Exchange indices responded positively in the first three days of trading last week soon after news of the appointment of new chief executive officer, Gabriel Kitua.
The governing council appointed 46-year-old Mr Kitua, replacing Jonathan Njau, whose tenure has expired after serving two three-year terms.
The new chief joins the bourse from the Capital Markets and Securities Authority (CMSA) the body that regulates the DSE, where he worked as director of research, policy, planning and information technology for seven years.
Both the Tanzania Share Index and All Share Index surged slightly to 932.76 and 1189.67 on Monday from 931.78 and 1189.2 of Friday respectively.
However, stockbrokers at DSE said it is too early to link the market behaviour with the appointment of the new chief, the third since the inception of the bourse, because the market responds very little to such events, according to Orbit Security chief head of corporate and research Fortius Rutabingwa.
He said the market was volatile at the beginning of the year and an upsurge trend is driven by investors liquidity requirements mainly to settle school fees.
Orbit Security senior broker, Florian Kahabi concurred: There is no relation between the CEOs appointment and trading at the market as it is driven by supply.
January is back-to-school month and parents are disposing their shares to offset fees obligations, Mr Kahabi said.
DSE governing council chairman Peter Machunde said in a statement last week that the new CEO had the requisite skills and experience to take the stockmarket forward in the next phase of its development.
Wakuu mnagusa pabaya!
nimeacha mdomo wazi kwa mshangao. hivi jamani kuna kampuni nyingine yoyote iliyokuwa-listed at DSE yenye website?
Sasa kama wanunua hisa hawajui chochote nani atakaye wajibika ku-disclose hizo informations?
wanaotakiwa kuwajibika ni TBL lakini hili tatizo ni la mda mrefu na sio kwa TBL peke yake kwa hiyo ni dhairi kuwa DSE hawafanyi kazi yao, yaani kuhakikisha kampuni zote zinazooperate kwenye soko zinafuata sheria kikamilifu. kwa hiyo DSE wanatakiwa waadhibiwe kwa kutokufanya kazi vizuri.
umeanza kwa kusema ni kampuni tano tu ambazo hazina website na sasa hivi unasema website ni kidude cha kujiadvertiseSemi:
Nafikiri kitu cha maana ni kupata financial report ya kampuni-I mean website ni kidude cha kujiadvertise tu. Ama?
Shika hii report ya TBL ya mwaka wa 2008.
http://www.sabmiller.com/files/reports
/2008_annual_report_TBL.pdf
siwezi kuamini kama unatetea hii kitu
Semi:
Nafikiri kitu cha maana ni kupata financial report ya kampuni-I mean website ni kidude cha kujiadvertise tu. Ama?
Shika hii report ya TBL ya mwaka wa 2008.
http://www.sabmiller.com/files/reports
/2008_annual_report_TBL.pdf