TBL website na financial statement - CEO wa DSE kazi yako ni nini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBL website na financial statement - CEO wa DSE kazi yako ni nini??

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Semilong, Jan 31, 2010.

 1. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,712
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kwa muda mrefu nimekuwa nikitafuta website ya TBL bila mafanikio yeyote

  TBL ni kampuni ambayo iko listed kwenye DSE na wanachi waTZ wananuna shares kutoka TBL bila kujua hali ya kifedha ya TBL, bila kujua uongozi wa TBL na bila kujua dividend plociy ya TBL.

  watu wengi wanananua shares TBL kutokana na kuzagaa kwa bia zao na ivyo kuashiria kuwa ni kampuni kubwa lakini ukiwauliza hali ya kifedha au uongozi hawaujui.

  kutokana na kipengele cha 14 cha DSE, TBL wanatakiwa wa disclose management yao, watakuwa wamedisclose kwa DSE lakini pia wananunuzi wa hisa wanatakiwa wawe wanajua uongozi wao. kwa hili wanatakiwa wawe na website yao na waweke uongozi wao online na kwenye financial statement ili uwe available kwa prospective buyers all time.
  na kwa kuongezea mapungufu ya hii sheria - shareholders/prospective buyers wanatakiwa wawe wanajua renumeration package za hawa jamaa
  hii statement inatakiwa iwe online available all time kwa buyers.

  lazima wa disclose dividend policy kwa buyers. hii ni sababu ni tosha ya kuwa na website na financial statement.

  CEO wa DSE unafanya kazi gani mpaka waTZ wanauziwa mbuzi kwenye gunia, au huu ndio ulevi wa madaraka au kutokujua unafanya nini??

  najua kuwa parent company ya TBL yani SABMiller ina website na financial statement lakini hizo ni kwa ajili SABMiller iko listed JSE na LSE. SABMiller haiko listed DSE. WaTZ wananua shares za TBL na sio SABMiller

  TBL iko listed DSE lazima itoe statement yake separately na sio kutumia group statement ya SABMiller kwa ajili hiyo haionyeshi TBL inaonyesha SABMiller
   
 2. b

  bnhai JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2010
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,234
  Likes Received: 1,385
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda observation yako. Nilikuwa naandika kitu fulani kuhusiana na DSE na kampuni zake ambazo zipo listed nilikutana na upuuzi huo. Yaani wanaficha details zao utazania ni private companies. Haya ndio tunayosema tunakimbilia kuiga wakati uwezo hatuna. Utawaona kesho asubuhi wnakurupuka.
   
 3. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,712
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  hawa ma-analyst wetu, eti there is no relation between the appointment of DSE ceo na surge.
  Je kama watu walikuwa wanaogopa njau jinsi anavyoendesha DSE na wakawa wanasubiria wajue ceo mpya atakuwa wa aina gani.
  sio CEO wa DSE peke yake, hata appointment ya new governer wa BOT inaweza ika-effect shares
   
 4. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 14,198
  Likes Received: 6,550
  Trophy Points: 280
  cha ajabu DSE kupitia Njau huyo huyo, waliwashikia bango NICOL kuhusu masuala ya umri wa wafanyakazi wake ilhali hatujui wa TBL! Labda kukusaidia Kuna wakina Msuya ambao nathani wameshapita 70yrs already na bado wako madarakani ;). Pia makampuni kama TOL,TATEPA; TCC nazo zipo kimya hatujui a wala b!
   
 5. Y

  YE JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wakuu mnagusa pabaya!
   
 6. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,765
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  Wapi pabaya hapo? Au mnataka kuwauzia wananchi shares kwenye gunia? Watanzania wanataka kununua shares kwenye haya makampuni na sheria ni lazima zifuatwe. Je unalolote la muhimu la kutueleza. As far as I know TBL na TOL ndio wako kwenye DSE kwa muda mrefu nafikiri tangu DSE ianze. Je wanaficha nini? Kama ni hivyo wafukuzwe kwenye DSE kwa sababu wengi tunategemea kuona facts kwenye web za hizo kampuni.
   
 7. k

  kioja Member

  #7
  Feb 3, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeacha mdomo wazi kwa mshangao. hivi jamani kuna kampuni nyingine yoyote iliyokuwa-listed at DSE yenye website?

  nadhani kuna maelezo mengine kutoka kwenye mamlaka husika. kuna ambaye anaeweza kuyapata?
   
 8. m

  mgeniwadunia Member

  #8
  Feb 4, 2010
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 38
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Mkuu angalia hapa: http://www.dse.co.tz/main/index.php?page=5

  only 5 out of 15 dont have a website.

   
 9. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2010
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,642
  Likes Received: 489
  Trophy Points: 180
  Sasa kama wanunua hisa hawajui chochote nani atakaye wajibika ku-disclose hizo informations?
   
 10. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,712
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  wanaotakiwa kuwajibika ni TBL lakini hili tatizo ni la mda mrefu na sio kwa TBL peke yake kwa hiyo ni dhairi kuwa DSE hawafanyi kazi yao, yaani kuhakikisha kampuni zote zinazooperate kwenye soko zinafuata sheria kikamilifu. kwa hiyo DSE wanatakiwa waadhibiwe kwa kutokufanya kazi vizuri.
   
 11. m

  mgeniwadunia Member

  #11
  Feb 5, 2010
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 38
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Semi:
  Nafikiri kitu cha maana ni kupata financial report ya kampuni-I mean website ni kidude cha kujiadvertise tu. Ama?
  Shika hii report ya TBL ya mwaka wa 2008.
  http://www.sabmiller.com/files/reports
  /2008_annual_report_TBL.pdf


   
 12. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #12
  Feb 6, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,712
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  umeanza kwa kusema ni kampuni tano tu ambazo hazina website na sasa hivi unasema website ni kidude cha kujiadvertise
  website sio kidude cha kujiadvirtise tu, kama unafikiri website ni kidude cha kujiadvertise then your are wrong....
  website ni legal requirement, ni part ya disclosure kwa kampuni ambazo ziko listed kwenye stock exchange nyingi tu duniani na ndio maana unaona sabmiller wao wanawebsite

  note: sabmiller haiko listed DSE ni TBL ndio wako listed kwenye DSE. Wana hisa wa TBL wanatakiwa wapate financial statement kutoka TBL na sio kwa mwanahisa mwenzao(sabmiller).

  nimekuwa nikitembelea hiyo website ya sabmiller mara kwa mara na hiyo link uliyotoa ni archive ya sabmiller, kwa hiyo hapo hamna disclosure yeyote. hiyo link utaipata kwa ku-google tanzania breweries LTD, na haiji website ya TBL bali linakuja file la PDF straight away.

  na hii statement ni ya year end 31/03/2008. what about year end 31/03/2009?? na sasa hivi tunatakiwa tuwe tunasubiria year end 31/03/2010?

  embu angalia investors part ya sabmiller utaona hamna TBL lakini zambia, accra na wengine wapo http://www.sabmiller.com/index.asp?pageid=75
  na hao accra + zambia brewery wameshatoa statement ya year end 31/03/2009 na miezi michache watatoa year end 31/03/2010.
  kumbe ndio maana TBL hawajawekwa online kwenye hiyo investor part sambamba na accra na zambia.

  siwezi kuamini kama unatetea hii kitu
   
 13. m

  mgeniwadunia Member

  #13
  Feb 6, 2010
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 38
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Boss:

  Sio eti ninaondoa hatiani kutoka kwa CEO wa DSE soko la mitaji. Infact, nakubaliana nawe juu ya ufanyaji kazi mbaya. Hoja langu ni kwamba ukosefu wa udhibiti wa makampuni sio reason ya kutuzuia kuwekeza kwa sababu kuna njia nyingine za kupata taarifa tunazohitaji kuwekeza.
   
 14. k

  kioja Member

  #14
  Feb 7, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanks mgeniwadunia.
  a little bit less worried now.
  but let me go into some of these sites to find out if there is any complience of what Semilong was trying to lament against TBL/DSE
   
 15. Miwani

  Miwani Senior Member

  #15
  Sep 21, 2011
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 182
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hii ni kitu kisichoeleweka kabisa, sio TBL tu hata Tanzania Cigarette
   
 16. wilbald

  wilbald JF-Expert Member

  #16
  Sep 22, 2011
  Joined: Dec 17, 2007
  Messages: 1,575
  Likes Received: 880
  Trophy Points: 280
  Tbl hawana website kwa sababu ilishanunuliwa na submiller ya south africa.so kama unataka taarifa za tbl nenda kwenye website ya submiller/tbl.utapata taarifa zako zote ulizozitaka kuhusu tbl.
  Mfano mwingine ni sbl huwezi kupata website yao kwani tayari wao ni subsidiary ya eabl, so ukitaka taarifa za sbl itakubidi uingie website ya eabl.
   
 17. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #17
  Sep 22, 2011
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,611
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Wakuu TBL wao ndio wamelist kwenye DSE na sio SabMiller, hivyo TBL inabidi wacompliance na DSE requirements. Kama wengi mnavyosema kwamba SabMiller ni Parent and TBL ni subsidiary, hivyo kwenye London Stock Exchange SubMiller wanatakiwa waconsolidate Financial statement zao, na kuonyesha all entities one Financial statement that is IFRS requirement. However kwa TBL sababu wamelist kwenye DSE basi ni lazima wa disclose their Financial statement, ili kuonyesha assets, liabilities and Equity. Vile vile lazima waawambie wawakezaje wa Tanzania kwamba jee kampuni iko na afya kiasi gani. Wadisclose any subsequent events, explanation for ups and downs of Revenue.

  Lazima waweke bayana wana debt kiasi gani? and lazima financial iwe katika form ya comparison. Niliuliza hili swali mwaka juzi wakati NMB ilipotaka kulist, nikasema kwamba what is their financial standing? Hakuna aliyejibu. Nikiuliza can someone justify TBL price per Share? Hakuna mtu aliyewai kufanya stock evaluation ya hizi kampuni. Hao wanaoitwa ma broker wamesoma degree zao za economics hawajawai hata kununua share kwenye vibua stock exchange. Then what are you expecting?

  Stock price is not determine by only demand and supply, but there are many factors.
   
 18. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #18
  Sep 22, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 942
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Kama katika karne hii bado tunafikiri kuwa website ni sehemu ya kujitangaza tu basi tuna safari ndefu sana.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...