TBL shares final results; what is going on?

TBL shares final results; what is going on?

FADHILIEJ

Senior Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
132
Reaction score
18
wadau naomba mwenye taarifa za matokeo ya TBL shares atujuze maana walisema tarehe 06 januari 2012 wangetangaza.

Update please.
 
wadau naomba mwenye taarifa za matokeo ya TBL shares atujuze maana walisema tarehe 06 januari 2012 wangetangaza.

Update please.
Matokeo yapi? Share allotment? Share price? Dividend declaration? Financial results? Eleza ueleweke ili uweze kujibiwa.
 
kama ni zile zilizokuwa zinamilikiwa na
EABL nadhani wameuzia kampuni za nje za uwekezaji wa hisa
 
WaTanzania wote walioomba kununua shares za EABL walizokuwa wanamiliki kule TBL wamepewa kama walivyoomba kufuatana na taarifa ya GUARDIAN ya jana 7/1/2012!!
 
Matokeo yapi? Share allotment? Share price? Dividend declaration? Financial results? Eleza ueleweke ili uweze kujibiwa.

Mkuu Ninamaanisha allotment,shares zilizouzwa hadi december 2011.
 
Back
Top Bottom