Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,585
Ni masikitiko makubwa sana kuandika hili...
Kuna mzee mmoja alitonywa na watu huko Moshi wenzako wamekupiga picha wanakutumia mwaka sasa.
Mabango tunayaona Arusha, Mwanza akakuta kweli amebandikwa na TBL tangazo lao na hakuwahi kulipwa.
Yule baba ana miezi saba alifungua kesi Moshi na badae TBL wakaomba wayamalize nje baadae akaambiwa apewe kiasi kidogo sana akagoma, akaletewa wakili wakafungua kesi Dar.
Wakamwita huku Dar aje kutoa ushahidi, kiukweli alikuwa na picha alipiga na simu zake. Baada ya kutoa tu ushahidi akaambiwa na wakili sasa auhitaji tena kuja Dar.
Kesho yake akijipanga kurudi Moshi, akaenda kusalimia ndugu.Alipokula nyama gafla akadondoka na kufariki.
Kama binadamu tunaomba marehemu Meenda lakini haki zake apewe mke na watoto wake.
Huyu bwana wanamuaga kesho Masaki mwisho wa kituo pale Hawaii bar
Bwana ametoa bwana ametwaa.