Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,559
- 1,452
Hii ndo nchi pekee duniani (baada ya Zimbabwe), kuquote price za vitu kwa dollar. Under normal circumstances ilitakiwa bei iwe kwa shilling ili dollar inunue shilingi. Hapa ni kinyume, shiling inanunua dollar! Hivi tuna wachumi kweli?
Nenda Kenya au Malawi, ni price zote ziko kwenye shilingi au Kwacha. Au beba vidollar vyako ulaya, ni lazima ununue Euro ili uweze kuzitumia. Si Bongo bwana, hata bia kwenye mahoteli makubwa ina chajiwa in dollars!
Ngoja EAC ije tupate akili, tumelala mno!
Mkuu umeongea kitu cha Msingi sana na hii ingepunguza vitu kupanda Bei kila kukicha,
Unless we have such a thinking minds in our country, development is a nightmare