TBC2 Channel Frequency!

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
Nasikia TBC1 walitoa frequency za TBC2 ambazo zinapatikana kupitia KU Band LNB. Kama kuna mtu amezidaka pls tuhabarishane!
 
Mkuu mi ndio kwanza nasikia kutoka kwako hivyo iwe hamasa kwa wa bongo wote tufuatilie ili tupongeza maendeleo haya, hata msumbiji wanatushinda Inter tv?
 
KU Band LNB ndio nini?

Ni virungu ambavyo vinafungwa kwenye dish (antenna). Hivyo virungu viko vya aina mbili ninazozifahamu kwa Tanzania, C-Band (haka ni kakubwa kidogo) na KU-Band ambako ni kadogo na mara nyingi huwa naona ukikaweka kanakamata channel za South Africa za Dini, Press TV ya Iran, Emmanuel TV ya Nigeria, nk. Katika matangazo yao TBC1 nasikia walidai kwamba kuna frequency ambazo zitatumika kuangalia mashindano ya Kombe la Dunia kupitia KU-Band LNB. Kwa bahati mbaya sijazipata!
 
OPTION TWO:lipia dstv yako full kategori kwa laki moja na elfu saba
 
Kima cha chini cha mshahara ni tsh 104,000 nikilipa 107,000 nitakula nini mwezi mzima jamani? Kweli kila kizuri cha tajiri cha maskini ni kibaya siku zote.
 
[/B]

Pole ndugu, hayo ndio "maisha bora kwa kila MTz!" Ila TBC1 imeanza kunikosesha imani, maelezo yao hayaendani na vitendo!
 
Nasikia TBC1 walitoa frequency za TBC2 ambazo zinapatikana kupitia KU Band LNB. Kama kuna mtu amezidaka pls tuhabarishane!

Well, hawakuzitoa - nilikua naagalia hicho kipindi. Most of the time waliongelea
- Wataonyesha nini kupitia nini (Kombe la dunia kupitia TBC2)
- Coverage na mahitaji ya msingi kuona matangazo ya TBC2 (Mikoa yote mikubwa, with additional repeater being installed, and 50km radius coverega from the base station, unahitaji decoder kuweza kukamata TBC2)
- e.t.c
 
Kwa aliyelipia jana 30th May 2010 Premium Dstv imegonga 115,000 - reason dola imepanda!

Uzuri wa hawa jamaa kama mwezi fulani mifuko haisomi, unaweza usilipie mwezi huo, ukalipia unaofuata! Ila mambo ya kulipia "in reference to dollar" ndio tatizo!
 
Well, hawakuzitoa - nilikua naagalia hicho kipindi. Most of the time waliongelea
- Wataonyesha nini kupitia nini (Kombe la dunia kupitia TBC2)
- Coverage na mahitaji ya msingi kuona matangazo ya TBC2 (Mikoa yote mikubwa, with additional repeater being installed, and 50km radius coverega from the base station, unahitaji EASY Tv decoder kuweza kukamata TBC2)
- e.t.c

Kuna jamaa yangu mmoja anadai walitoa, lakini sio kupitia kipindi cha TUAMBIE ambayo inawezekana una-refer, nimemwambia anitumie naona bado hajanitumia!
 
mkuu naomba ku-book kama bado jamaa hajakutumia au kama tayari msaada kwa PM,pliiiiiiiiiiz!si wengine wagonjwa wa football kwakweli.
 
hivi hii STAR TIMES ya wachina huko kwenu haijafika?. iko pouwa, channel kibao za ukweli. na ipo very clear. try it
 
Uzuri wa hawa jamaa kama mwezi fulani mifuko haisomi, unaweza usilipie mwezi huo, ukalipia unaofuata! Ila mambo ya kulipia "in reference to dollar" ndio tatizo!

Hii ndo nchi pekee duniani (baada ya Zimbabwe), kuquote price za vitu kwa dollar. Under normal circumstances ilitakiwa bei iwe kwa shilling ili dollar inunue shilingi. Hapa ni kinyume, shiling inanunua dollar! Hivi tuna wachumi kweli?
Nenda Kenya au Malawi, ni price zote ziko kwenye shilingi au Kwacha. Au beba vidollar vyako ulaya, ni lazima ununue Euro ili uweze kuzitumia. Si Bongo bwana, hata bia kwenye mahoteli makubwa ina chajiwa in dollars!
Ngoja EAC ije tupate akili, tumelala mno!
 
Back
Top Bottom