TBC1 yachakachua kauli ya Obama..........................................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
Leo mchana huu wa taarifa ya saba mchana kituo chetu cha TV cha TBC1 kimedai kwa makosa ya kuwa Raisi wa Marekani aliuagiza uongozi wa serikali ya Misri uunde serikali ya umoja utakaowashirikisha wapinzani...................................

Obama alimuhimiza Raisi wa Misri Hosni Mubarak aharakishe mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa ili kukidhi mahitaji ya raia wake yakiwemo ya kujenga mazingira ya uchaguzi ujao uwe wa huru na wa haki........................................................

Haya ya kuunda serikali ya mseto ni njozi za TBC1 tu............kwani hata jana Waziri wa mambo ya kigeni Hillary Clinton alisema kwenye vituo mbalimbali vya TV nchini humo ya kuwa si jukumu la marekani kuwapangia wamisri njia ya kupita ili kutatua matatizo yao makubwa ya kiuchumi na kisiasa........................................

TBC1 stop lying to us........................................mnaogopa nini kusema ukweli?.....................We all need to remember that only the truth can set us free.................................
 
mbona mi mwenyewe nimesikia na kumuona obama kupitia aljazeera akisema hivyo hivyo!
 
Hata hali ya machafuko walichakachua wakidai hali ni shwari baada ya kudhibitiwa.
 
A White House statement said Obama "reiterated our focus on opposing violence and calling for restraint, supporting universal rights, and supporting concrete steps that advance political reform within Egypt."

At the White House, top diplomatic, security and intelligence officials gathered for two hours to review the situation in Egypt. The meeting was led by national security adviser Tom Donilon and included White House chief of staff William Daley and CIA Director Leon Panetta. Vice President Joe Biden, Secretary of State Hillary Rodham Clinton and Margaret Scobey, the U.S. ambassador to Egypt, participated by teleconference, the White House said.

Labda walishindwa kumuelewa Mzee wa Ungenge 'B. Obama"


Source: Obama repeats call for restraint in Egypt - USATODAY.com
 
Back
Top Bottom