TBC1 warudia tena press ya Dr. Slaa

Hotuba ya Dr Slaa haina tija sana kwa wananchi kwa kupindi hiki cha uchaguzi .

Bora vyombo hivi vya habari vikubwa vingejikita kuweka hotuba za Marais wagombea wote tusikilize Sera zao hata kurudia mara 3 kwa siku,

kuliko kupoteza muda kwa hotuba ya Dr Slaa ambayo haijashiba kwa maudhuwi, wala tija na imejaa uchochezi na kutugawa watanzania wakati tuko wamoja
 
hivi TCRA MKO WAPI KWA HUU UPOTOSHAJI WA SLAA KURUDIWA RUDIWA NA HV VTUO VYA MATANGAZO¿¿?????

tendeni haki
 

Mahaba niue. Hotuba ya Dr Slaa imeibua mambo mazito na ya msingi kwa mustakabali wa CHADEMA na taifa kwa ujumla.

Unasema waweke hotuba za wagombea, hotuba za dakika 5 za Lowasa dhidi ya hotuba za masaa mawili za Dr Magufuli?
 
Tena kama Star TV hata usomaji wao wa Magazeti kwenye kipindi chao cha asubuhi Tuongee Magazeti kimebadilika kabisa.
Habari za CCM zinapewa kipao mbele sana na kama utasikia habari ya UKAWA basi ni ile ya Kuiua. Au kwasababu Mmiriki wa Chombo hiki yomo kwenye kamati ya Kampeni za Magufuli?
 
Kimeshaeleweka tunataka kujua Sera sasa ya vyama vyote
 
Upuuzi tu,
Baada ya kutuwekea mambo ya maana yanagusa wananchi wanatuonuesha upuuzi!!
 
Slaa anaendelea kuilipia bana huku anakula mihogo
 
Nyie Mbona Ktk Kampeni Zenu Mnaweka Sauti Ya Nyerere Muda Mwingi Mbna Watu Hawasemi Wametulia Tu,leo Kurudia Hotuba Ya Slaa Ni Nongwa?Siku Zote Jiwe Likirushwa Gizani Ukisikia Yallaaah Ujue Limempata Huyo.....
 
uLITAKA WARUDIE HOTUBA YA BABA YAKO?
 
Hili lisala lako nawe limetuchosha. Kila post unahangaika nalo. Nenda kasali huko na familia yako. Siasa na dini wapi na wapi?
 

Star TV ni channel ya kikada sana, sijui wanadhani ni channel ya chama? Inaleta kichefuchefu. Channel pekee inayotendea haki watanzania wote bila kubagua ni azam TV na itv kidogo, kina clouds nao hawaaminiki, wamepitwa na wakati, wapi kuleeeee, enzi ya chama kimoja
 
Tony Antony: wakinani vimetajwa vyama hapa au kweli mmelipia nyie hotuba dr kasava
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…