Nico mm hicho kipindi cha TBC kurusha hayo matangazo ya Dr Slaa huko SERENA nakikosa sanaNazidi pata hasira nikiiskia natakani sana Octoba ifike na Novemba niuone tena huu mfumo.
Sasa tunaanza kujiuliza kulikoni? Jama mmerusha live, mkarudia tena usiku wa jana, leo tena mnarudia tena?
Mbona wakati wa Lowassa kuama CCM kwenda CHADEMA hamkurusha? Na ikizingatiwa huyu alikuwa na wadhifa mkubwa sana katika serikali?
Mbona sumaye alipo ondoka CCM na kujiunga na UKAWA hamkurudia na huyu ni mtu mwingine mzito?
Kwanini Dr. Slaa?
Kuna nini nyuma ya panzia? Ina maana Dr Slaa ni mtu mkubwa kuliko hawa hambao hakuona humuimu wa kuweka habari zao kama mnavyofanya kwa Dr. Slaa?
Naomba kuwasilisha:
Dr. Slaa amejilaani yeye na kizazi chake hapa duniani.
Kazi ya vyombo vya habari vya serikali yoyote duniani ni kufanyia propaganda serikali ya chama iliyoko madarakani. Hayo aliyasema FT Sumawe,bungeni 2007.
cc😡PRINCE CROWN HAMY-D minyoo youngsharo
Kuna clip moja nimeickia sema naogopa cybr bt watu hawaaminik kwa kwel dah
We pressure yanini wakati mnasema hata kama ni fisadi mtamchagua hivyo hivyo,acha wananchi watambue vizur ni kivipi anaitwa fisadi kisha wakamchague hivyohivyo,wacha dr afumbue watu macho we tulia malalamiko ya nini!
dah. Sijui kama unajua nini maana ya vyombo vya seriakali!
Au ndio ushabiki wakushabikia chama. Bila kuwa na uelewa wa kupambanua mambo.
Vyombo vya serikali sio vyombo vya chama kwa mujibu wa sheria. Vyombo vya serikali ni vyombo vya uma maana haviendeshwi na pesa za chama fulani. Bali uendeshwa kwa kodi za wananchi upo?
Vyombo vya chama ni gazeti la uhuru.mzalendo. Na radio na tv uhuru. Hivi ndio vyombo vya chama.
Kwa iyo ndugu. Ujue jinsi ya kutenganisha. Vyombo vya chama na serikali.
iweke tu mkuu, usiogope.
kaka hapa Mungu anaanza kutuonyesha mambo yaliyo nyuma ya panzia,
Sasa tunaanza kujiuliza kulikoni? Jama mmerusha live, mkarudia tena usiku wa jana, leo tena mnarudia tena?
Mbona wakati wa Lowassa kuama CCM kwenda CHADEMA hamkurusha? Na ikizingatiwa huyu alikuwa na wadhifa mkubwa sana katika serikali?
Mbona sumaye alipo ondoka CCM na kujiunga na UKAWA hamkurudia na huyu ni mtu mwingine mzito?
Kwanini Dr. Slaa?
Kuna nini nyuma ya panzia? Ina maana Dr Slaa ni mtu mkubwa kuliko hawa hambao hakuona humuimu wa kuweka habari zao kama mnavyofanya kwa Dr. Slaa?
Naomba kuwasilisha:
ningewashauri waifanye mazungumzo baada ya habari kwa kipindi cha mwezi mmoja.kama itawasaidia