Wanajamii wenzangu nimefuatlia ktk vituo vitatu tofaut,ITV,TBC1 na CH10 na kugundua kuwa serikal imeandaa kipind hik maalum kwa ajil ya kulisafisha jesh la polis na kukichafua CDM,make mtangazaj ana sistza kuwa yote yalotokea lawama kw CDM,shame upon their faces.
chadema sio chama cha kisiasa ni chama cha fujo
Ndio wanawasha moto wa mabadiliko mana wengi wanapiga simu nakudai sehemu askari anavunja vioo vya gari ionyeshwe.[/QUH
Hakuna mtu atakaye zuia hili vuguvugu
Nimeangalia, pamoja na kuficha mengine, bado wanachi wanatakiwa kutii vyombo vya dola, iwe dola ya ccm au chadema au cuf au ppt. kumbuka wao wanaenda na wamelelewa kufanya kazi kwa amri, na ukizingatia mawe yalirushwa kuwashambulia police, hata hasira za kawaida zingemfanya mwanadamu huyu aliyevaa kombati apige! ndio
Kuwa na akili wewe. WHO IS THE SOURCE OF THE PROBLEM, yule aliyeanza kupiga watu mabomu au yule aliyekataa kuonewa kupigwa mabomu. CCM ina take advantage kwamba watanzania wengi bado wanauelewa mdogo, hivyo kupotosha habari kwao si big issue.
The source is a bunch of opportunistic armature politicians who incited their followers to disobey a lawful order.
Their evil agenda is to gain political and financial mileage by exploiting disadvantaged youth.
That goal must be achieved by all means even by killing innocent people.
I hope now you know!