TBC1 si shirika la umma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC1 si shirika la umma?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Henry Kilewo, Sep 2, 2010.

 1. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #1
  Sep 2, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Kinacho endelea kwasasa kwenye TBC ni wazi ya kuwa CCM wanatuonyesha wazi kuwa wananchi hawatakiwi kuufahamu ukweli wa maovu wa yatendayo, kwa kitendo cha TBC kutoonyesha kampeni za CHADEMA mikoani ni kuwanyima watanzania fursa za kufahamu ya kuwa ni kwanini CHADEMA inasema CCM ni chama cha mafisadi? wakati awamu ya kwanza ya kampeni za CCM zilikuwa zinaonyeshwa na kituo hicho kinacho jiita ni kituo cha TAIFA , kumbe ndivyo sivyo kwa hali halisi inayoendelea kwasasa, kiukweli naona sura ya machafuko 2010 kama CCM wanaonyesha dhahiri hawataki kushindwa kwa hoja so wanataka kuendelea kuongoza milele. TANZANIA tuamke kwasasa kuvipinga vitendo vya ukandamizwaji kama hivi, vyombo vya dola kutumiwa na chama tawala ni kwa manufaa yao binafsi ni upuuzi
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  katika kuelekea uchaguzi october 2010 shirika la utangazaji TBC1 wamezidi kutoonyesha usawa wa demockasia kwa vyama vyote. kampeni zilipofunguliwa 20/08/2010 kila ulipofungua TBC unakuta rangi za kijani(CCM), siku zikaenda CUF wakafungua kampeni zao na wenyewe wakaonekana live and Chadema wakafungua kampeni wakaonekana live pamoja na kuwakatia matangazo.

  Taarifa ya habari ya tarehe
  27/08/2010 baada ya chadema kuzindua kampeni zao walionesha, CCM na CUF walioneshwa pia.

  28/08/2010 CCM walionesha kampeni kwa mgombea wa urais, makamu, wabunge na madiwani, CUF walionesha mgombea urais tu CHADEMA ilikula kwao mana mgombea wao alikuwa DODOMA hakuoneshwa, je reporter wa TBC hawakuwepo?

  29/08/2010 CHADEMA walionesha mgombea urais(lakini taarifa ilikuwa inakatika katika, wakaomba samahani ikaja kurushwa saa 4 watu wanaelekea kulala)

  29/08/2010 TBC walionesha usawa kwa wagombea wote

  30/08/2010 TBC walionesha taarifa za chadema zikiwa mgombea ubunge zikiwa zinakatika katika wakaomba samahani wakarudia sa 4 watu wakiwa wamelala, kwani TBC frequency zao zinabadilika wakifika taarifa za chadema?

  02/09/2010 80% ya taarifa ilikuwa CCM, CUF walionesha mgombea urais na Chadema mgombea urais, hapa usawa uko wapi?

  Muda katika taarifa ya habari ya jana 02/09/2010
  Mgombea mwenza CCM dk 4.02.025, hapa aliongea mara 3 tofauti katika taarifa moja
  Mgombea Urais Chadema dk 2.25.40 mgombea aliongea mara moja taarifa ilikuwa inabreak
  Mgombea wa CUF alioneshwa mara moja


  Mytake :TBC kwa sasa imenunuliwa na ccm

  1.Inakuwaje TBC wanakuwa wabaguzi kiasi hiki?
  2.Kwani ikifika taarifa za chadema frequency ya TBC inabadilika?
  3.kwanini TBC taarifa zao za habari 80% ni CCM?
  4.Reporter wa TBC wanafanya makusudi kutotoa ujumbe kamilifu kwa umma wakiogopa kufukuzwa kazi?

   
 3. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  good analysis...ndo data tunazotaka hizi. endelea kuwa-time kila taarifa ya habari. Bila data tunakuwa mavuvuzela tu!
  Na hii inaonyesha watu wanauchu mwaka huu. HATUDANGANYIKI!

  Data za 2-Sept ndo zimetulia. Hii ya kusema 80% nk...ni maoni tu mkuu. Lakini hizi zinazopima muda kabisa ndo tunazohitaji. Mkuu ninaomba uendelee kukusanya namna hii.
   
 4. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hilo tunalijua vizuri, kwani unajua Tido mhando alipewa kazi na nani? Na unajua kuwa CCM wamehodhi resources za serikali zoote na ndizo wanazofanyia kampeni? e.g magari ya serikali kutumika na salma kikwete kwenye kampeni pamoja na askari wetu wengi tu na viongozi wa serikali baada ya kufanya kazi za kujega taifa. yako mambo mengi tu, ila kwenye media hiyo ni lafu kweli kweli , maana TBC1 inawafikia watu wengi sana. Kikwete tutamshitaki tukichukua nchi iwe mwaka huuu au ule mwingine, hatumwachiliii.
   
 5. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mkuu TBC chini ya TIDO ni CCM sasa hapo unategeme kipi kipya, wamejisahau sana kuwa wanaishi kwa KODI ZETU SISI WANANCHI wanadhani wanaishi kwa HELA YA CCM.

  Kila lenye mwanzo huwa lina mwisho wote tushirikiana kuiondoa CCM madarakani tuweke CHADEMA ili wakomeshe hii tabia ya MATUMIZI MABAYA YA KODI ZA WANANCHI tuone jeuri ya TBC itaishia wapi
   
 6. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,493
  Likes Received: 1,222
  Trophy Points: 280
  wameanza kushtuka sasa wanaonyesha vipande vipande
   
 7. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Now this is JF standards. Keep it up mkuu
   
 8. e

  emalau JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,179
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Kibaya zaidi wakifanya interview na watu wa upinzani wanataka wachezee mle mle wanapotaka wao, Jana usiku wakati wakimhoji Dr. Mvungi kila alipotaka kutaja neno fisadi huyo J. Shirima alikuwa hataki. Hivi TBC wanaona kichefuchefu gani mtu akitaja ufisadi? Au na wao mafisadi? Nimeshawaambia kwamba haki haiji tu kama lulu, ni kuwatafutia adhabu ya kutumia kodi zetu kuinufaisha CCM.
   
 9. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Goog analysis mkuu thnaks endelea kutuaabalisha

  TBC wamezidi kwa unyama
   
 10. F

  Froida JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  leo asubuhi wameonyesha kichwa cha zito kabwe na upande uliokaa watoto hawakutembeza kamera kuonyesha watu wote waliohudhuria mkutano wake wa kampeni kama msigwa alivyokuwa anaripoti kampeni za ccm songea na Ghalib, nimegundua CCM wanapewa dakika 10 CUF 3 na Chadema 1.30 nimekuwa nikihesabu tangu mwanzo mwa wiki hii, huu ni uvunjanji mkubwa wa haki za binadamu wanajua jinsi vyombo vya habari vilivyo na nguvu,kupindisha ukweli na jinsi hasira ya wananchi wanavyoweza kuamua kuchoma TBC wakiona wananyimwa haki yao ya msingi kwani ni kodi zao zinazoendesha shirika wana haki ya kupata taarifa kwa mizania sawa,TBC waondoe uzandiki na kutaka kutupelekea taifa kwenye maafa makubwa kwa uroho wao wa pesa.TBC haya yote yatakuja kuwatokea puani,ole wenu huwa hawaonyeshi shamshamra za washabiki wa Chadema wanaporusha mikono wanaonyesha mikono imeganda,hawa wehu kweli ninachopenda redio nyingi zinasoma magezeti yote kwa undani na nina imani wananchi wengi wanapata taarifa kwa undani.
   
 11. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu leo (03/09/2010) mida ya saa 6.05 na saa 6.35usiku TBC walikuwa wanapiga nyimbo za CCM
  Msanii mmoja sikuweza kumpata jina alikuwa anaimba wimbo wa kumchagua KIKwete na wabunge wake akiimba wapinzani hawana jipya

  Mytake to TBC1

  Kama wameamua kuonesha nyimbo katika TV ya TAifa wafanye kwa vyama vyote sio SSM tu
  Siku moja mtakuja kuwalipa wananchi
   
 12. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mkuu...tunakusoma na kurekodi!kazi tunayo!!
   
 13. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2010
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Mbona hilo halipo mbali kutokea hivi sasa, lazima lazima watalipa kile walichotenda na uzuri ni kwamba historia huwa haifi daima,
   
 14. Profesy

  Profesy Verified User

  #14
  Sep 3, 2010
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbona tarehe 29 umeonyesha mara mbili. Ni wapi ni wapi ili tuwe na wakika tukirudia hii information? Niko na jamaa wangu ana rekodi haya mambo. Naomba unipe details kabisa za nani alikua anaongea mpaka wakamkata.

  Alafu sijui kama umegundua tarehe 28 TBC Marine akjionyesha akipigwa huku akisema kwamba eti "Sijui kama wana lengo la kufanya kampeni kwa amani kama mambo yenyewe ni yale ya kumpiga mwandishi na kumtukana" - Yani eti huyu ni mwandishi.

  Na siku hizi sijui kama umegundua wana mambo flani ya kihuni TBC ya kusoma SMS za watu zinazoombaga kampeni za amani na utulivu na ya kukwepa matusi alafu ndio wanabroadcast habari za CHADEMA.:mad2:
   
 15. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mkuu sina uwezo wa kurecord
  kama unaangalia taarifa ya habari ya TBC ninayoandika hapa ni ya ukweli
   
 16. Profesy

  Profesy Verified User

  #16
  Sep 3, 2010
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sijakataa nataka tu nijue hio ya tarehe 29. Ni habari zote mbili au labda moja ulikosea?
   
 17. M

  Mugo"The Great" JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2010
  Joined: Oct 7, 2007
  Messages: 263
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nakupongeza mleta mada kwa research nzuri sana. Ni vizuri haya mambo yaendelee kuwa documented on daily basis na ikiwezekana baada ya uchaguzi Ifanywe analysis na kiandikwe kitabu kinachoelezea jmadhara ya TBC kupendelea na kupotosha jamii. Kitabu hicho kisambazwe kwa wanaharakati wote Tanzania na Duniani kwa ujumla.
   
 18. M

  Mugo"The Great" JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2010
  Joined: Oct 7, 2007
  Messages: 263
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Halafu TBC1 kwa kuonyesha kuwa kampeni inahudhuriwa na watoto wanafikiri ndiyo ujanja, hawajui kuwa WATOTO hao ndio Wapiga kura wa kesho na watakuwa Hawadanganyiki kirahisi.
   
 19. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hawa jamaa ni wapuuzi sana,
  Na jana tena wamerudia ushenzi huo huo, wakati wanaonyesha uzinduzi wa kampeni za chadema jimbo la mwibara taarifa ikawa inakatika katika na haikuwa na sauti lakini taarifa nyengine zikaendelea kuruka kama kawaida.
  Kitu kingine kilichonikera ni ile style ya mahojiano aliyokuwa anaitumia jane shirima, hakutaka dr. Mvungi atoe maelezo ya kujitosheleza, kila akianza tu kuongea anamkatisha, yaani yule mwanamke nilitamani Mvungi amnase kibao.
   
 20. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #20
  Sep 13, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Jana walijizilishia kuwa TBC ni ya CCM
   
Loading...