Elections 2010 TBC1 si shirika la umma?

Inaelekea mashirika yote ya umma na idara za serikali zote ni CCM....basi wapinzani waendelee kuota ndoto ya kuing'oa CCM kama hali ndo hii,labda Mungu aingilie kati....
 
katika kuelekea uchaguzi october 2010 shirika la utangazaji TBC1 wamezidi kutoonyesha usawa wa demockasia kwa vyama vyote. kampeni zilipofunguliwa 20/08/2010 kila ulipofungua TBC unakuta rangi za kijani(CCM), siku zikaenda CUF wakafungua kampeni zao na wenyewe wakaonekana live and Chadema wakafungua kampeni wakaonekana live pamoja na kuwakatia matangazo.

TBC1 WALISHATOA TAARIFA YAO KWAMBA CHADEMA WALIKIUKA MAKUBALIANO NA NDIO MAANA WALIWAKATIA MATANGAZO!!! SHERIA NI MSUMENO!SO, TBC1 HAWAKUTAKIWA KUKATA MATANGAZO KV KAMPENI NI ZA CHADEMA?! BY THE WAY, MBONA TAARIFA ZA KAMPENI ZA CHADEMA KILA SIKU TUNAZIPATA KUPITIA HIYO HIYO YA TBC1 TENA KWA COVERAGE YA KUTOSHA TU SAWA NA CCM?! NAHOFIA SANA ULALAMISHI USIO NA MAANA KAMA HUU KWANI HATA PALE CHADEMA WATAKAPOSHINDWA KWA HALALI KABISA BADO MTALALAMIKA NA KUTAKA KUTUCHAFULIA HALI YA HEWA!KWA MTIZAMO WANGU, TBC! WAME-IMPROVE SANA KTK KUTENDA HAKI KWENYE UCHAGUZI HUU INGAWAJE WAPENDA KUPINGA WATAPINGA TU!
 
If you wanna know wether your mom is the best cook in the village try other women's cookings (foods)! Ukitaka ju a kama TBC1 wana fanya equal coverage ya kampeni za Upinzani na CCM kwenye taarifa ya habari, angalia na vituo vingine vya televisheni! TBC1 are crooks!
 
TAARIFA YA HABARI YA TAREHE 13/09/2010
CCM alioneshwa Dr Bilal
Reporter alitoa coverage nzuri akawapa nafasi wabunge na madiwani wa sehemu hiyo(sikuweza kuishika jina) kuongea.
Reporter aliweza kuidentify sera/ahadi za ccm kwa wananchi
Time given:4:03:34

CUF Prof Lipumba
Reporter alitoa coverage nzuri kwa kuonesha Prof Lipumba alivyokuwa anasimamishwa na wananchi njiani na Jinsi alivyoenda kwa DC kuomba kura
Time given:2:41:65

Chadema Mbunge ndo alioneshwa
Reporter alitoa coverage nzuri kwa kuonesha umati uliokuwepo
Time given: 1:45:03

Reporter wa DR SLaa
NOTHING WAS REPORTED

USIKU WA HABARI WA TBC1 TAREHE 14/09/2010

CCM kikwete
Reporter alitoa coverage ya kutosha na kureport sera na ahadi za ccm bila kumungunya maneno
Time given:3:51:28

CCM kigoma kasikazini
Reporter alitoa good coverage kwa mbuge wa kigoma kaskazini
time given:2:59:84

Chadema Dr Slaa
Reporter alijitahadi kuonesha mbwembe za Dr Slaa alivyokuwa anapokelewa
Reporter hakuweza kureport kilichosemwa katika huo mkutano kama DR SLAA ALITOA SERA ZAKE KWA WANANCHI REPORTER HUYU HAKUREPORT CHOCHOTE
Time given:2:01:34

why reporter anakuwa anamungunya maneno?

CUF Prof Lipumba
Reporter alitoa coverage nzuri alionesha Prof lipumba alivyokuwa anapokelewa na kutoa ahadi zake.
Time iven:1;52:17

USIKU WA HABARI TBC1 TAREHE 15/09/2010

CCM KIKWETE
TBC Reporter(Gerison Msiba) alitoa muda wa kuongea kwa Kikwete MARA 4
Report alionesha JK atawafanyia nini wananchi
Time given:2:59:98

CUF Prof LIPUMBA
TBC reporter( Noel Mwakalenga) huyu reporter alionesha good coverage maana Prof Lipumba alipewa nafsi 4 za kuongea
Time given:3;48;31

CHADEMA DR SLAA
TBC REPORTER(EMANUEL AMAS) alireport kuwa Dr SLaa yuko Mara nyamongo kama sijakosea
COVERAGE YA CAMERA: hapa umati wa watu haukuweza kuoneshwa camera ilikuwa inaonesha kwenye majukwaa na sehemu ya viongozi wa chedema walipokuwa
wakati Dr slaa anatoa sera zake alioneshwa kiwiliwili tu bila ya kuonesha watu walioudhuria

kwanini wanonesha kiwiliwili tu wakati anatoa sera zake?

CAMERA ZA TBC HAZIFANYI KAZI VIZURI?

CCM KAHAMA(LIMBELI, MWANDOSYA NA J MAKAMBA)
walipewa coverage ya kutosha
Time given:3;35;25

CHADEMA IRINGA
Msoma habari TBC anasema Chedama wamefanya FUJO
REPORTER WA TBC ADOLF MBATA anaonesha kuwa wakati mbuge wa chadema anahutumbia mkutano wake mtu mmoja alikuja na gari la sisimu akatika akatize katikati ya mkutano lakini wafuasi wa chadema walimzuia.
Hapa nilivyoona ni kuwa Mfuasi wa CCM alitaka kufanya uchokozi

Huyu msoma habari sijui ana elimu ya DARASA la ngapi mana hata usomaji wake ni wa kubabaisha

WHY TBC INATUMIKA KAMA PROPAGANDA YA CCM??????

Mkuu unatisha endelea kutupa data hawa TBC wabaka nchi
 
Back
Top Bottom