U-puuzi mtupu, ptuuuu!!Taarifa nilizozipata mpaka sasa kutoka kwa mmoja afisa wa TBC1 ktk kitengo cha IT, ni kwamba TBC1 taifa itatoa tamko kali dhidi ya CHADEMA ktk kipindi maalum kitakachoandaliwa ambapo pia kuna taarifa kwamba watatmia fursa hiyo kulaani vitendo viovu vya CHADEMA ktk kuhatarisha amani ya nchi lakini pia watafichua nyaraka za siri za CHADEMA zenye agenda chafu dhidi ya viongozi wachache ambao hawatakiwi ndani ya CHADEMA.
Pia kuna taarifa kuwa baadhi ya vijana ndani ya uongoiz wa CDM wanaopinga umamuzi wa chama kususia CDM.
My view:
tutasikia mengi kuelekea 2015 kwani TBC1 is just like another uprising political party..
Stay turned.........
TBC mara zote wamekuwa wakiikwepa CDM kwa mtazamo kuwa wakitoa habari zao wataipa promo. Sasa wanakuja na tamko la kuilaani CDM. Hii ndio promo yenyewe sasa ambayo waliikuwa wakiikwepa. By the way, wana sababu gani ya kulumbana na political party? Wangelumbana na media nyingine wangeeleweka. Anyway, twende sasa TBC, leta wimbo!
Taarifa nilizozipata mpaka sasa kutoka kwa mmoja afisa wa TBC1 ktk kitengo cha IT, ni kwamba TBC1 taifa itatoa tamko kali dhidi ya CHADEMA ktk kipindi maalum kitakachoandaliwa ambapo pia kuna taarifa kwamba watatmia fursa hiyo kulaani vitendo viovu vya CHADEMA ktk kuhatarisha amani ya nchi lakini pia watafichua nyaraka za siri za CHADEMA zenye agenda chafu dhidi ya viongozi wachache ambao hawatakiwi ndani ya CHADEMA.
Pia kuna taarifa kuwa baadhi ya vijana ndani ya uongoiz wa CDM wanaopinga umamuzi wa chama kususia CDM.
My view:
tutasikia mengi kuelekea 2015 kwani TBC1 is just like another uprising political party..
Stay turned.........
TBC janga la taifa. Nilikuwa mpenzi mkubwa wa channel hiyo enzi za Tido. Sasa hivi nasikia kichefuchefu kila ninapoiona. Ptu!
kama nyaraka zinazo hatarisha nchi viongozi wa CDM wanazo mbona police hawajawakamata mpaka sasa wakati wanajua nchi ipo hatarini kumbe police ni dhaifu CDM ni imara wameweza kukaa na nyaraka bila kukamatwa muda wote big up CDM.Sasa TBCCM watoe tamko kali dhidi ya Chadema ili iweje? Wengine tulishaacha kutazama tbc1 miaka mingi iliyopita, kilichofanywa na kamati kuu ni kuwastua wachache waliokuwa bado wanaiangalia.
Kama sio ujuha ni nini wanaposema kwamba watafichua nyaraka za siri za viongozi wa Chadema ambao ni hatari kwa nchi. Nani anaweza kudanganyika kirahisi kwamba tbccm wana nyaraka za siri za Chadema eti wazikalie hadi walipotangaziwa kususwa ndipo wazitoe!!??
Taarifa nilizozipata mpaka sasa kutoka kwa mmoja afisa wa TBC1 ktk kitengo cha IT, ni kwamba TBC1 taifa itatoa tamko kali dhidi ya CHADEMA ktk kipindi maalum kitakachoandaliwa ambapo pia kuna taarifa kwamba watatmia fursa hiyo kulaani vitendo viovu vya CHADEMA ktk kuhatarisha amani ya nchi lakini pia watafichua nyaraka za siri za CHADEMA zenye agenda chafu dhidi ya viongozi wachache ambao hawatakiwi ndani ya CHADEMA.
Pia kuna taarifa kuwa baadhi ya vijana ndani ya uongoiz wa CDM wanaopinga umamuzi wa chama kususia CDM.
My view:
tutasikia mengi kuelekea 2015 kwani TBC1 is just like another uprising political party..
Stay turned.........
mwenye kiti wa tbc political party anaitwa nani????????????? cz wanapoanza kuzozana na cdm wana wapatia cdm umaarufu wa bure....... tbc wasome nyakati as hizi sio nyakati za zidumu fikra za mwenye kiti............
Chama kinaitwa TBCCM na mwenyekiti ni MshanaMwenyekiti wa hicho chama cha siasa kipya kinachoitwa TBC ni nani?